Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,241
Na Mungu hadhihakiwi......Si kila alitajae jina na bwana ataingia peponi wengine ni wauaji wakuu na wanyang'anyi wa haki ya kuishi ya watu wengineHii imevuka mpaka. Chuki iko kwenye mioyo na roho za watu. Hata wakiombewa vipi, hawabadiliki. Cha shetani ni cha shetani...