Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti Mwaka wa Fedha 2023/2024

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,899
944
"Naipongeza Wizara ya Fedha na Mipango, Waziri wa Fedha na Mipango na Timu nzima ya Wizara ya Fedha na Mipango, Kamati ya Bajeti, NBS na CAG kwa namna ambavyo wametuletea taarifa muhimu kutuwezesha kujadili hotuba ya bajeti ya mwaka 2023-2024" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Tumefanya vizuri lakini utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ambao mchango wetu tumeshalipa Bilioni 354 nusu ya Fedha zinazotakiwa. Mradi wa SGR tuko vizuri na mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) sasa uko asilimia 87, ni mambo mazuri na tumepiga hatua" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Naunga mkono hoja pendekezo la Kamati ya Bajeti ya Bunge kuhakikisha Finance Bill inaletwa na kujadiliwa Bungeni angalau kwa kipindi cha mwezi mzima. Tupate mwezi mzima wa kujadili taarifa ya Finance Bill" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango ibara (9) anazungumzia mwaka 2008 ambapo Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan hakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ukiweka ibara ya namna hiyo kwa maelezo aliyoweka inakuwa ni matumizi mabaya ya Jina la Rais" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Ibara ya 126, Waziri anasema "kupiga marufuku ufungaji wa biashara kwa sababu zozote zile" ukiweka ibara ya namna hii unaleta mkanganyiko kwasababu haya mambo ni ya kisheria, kuna mambo ambayo inalazimika ifungwe" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Unakuta Kiwanda au mgodi unatiririsha sumu kwenye makazi ya watu na kwenye vyanzo vya Maji. Hizi Mamlaka za Usimamizi zifanye nini, NEMC wafanye nini katika mazingira ya namna hiyo kama siyo kufunga ili kuhakikisha wanaokoa (rescue) maisha ya watu" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Mtu anafanya biashara hana leseni, hana kibali chochote, anauza bidhaa bandia, anauza bidhaa fake, unamfanya nini? Tukiweka vifungu kama hivi vinaleta mkanganyiko kwa wasimamizi wa sheria ambao tumetunga sheria sisi wenyewe na kuwaagiza katika maeneo hayo wafanye nini" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Katika ukusanyaji wa mapato, hatujakusanya zaidi ya Trilioni 15 kwasababu ya usimamizi mbovu wa ukusanyaji wa mapato hapa nchini. Kufikia Aprili 2023 hatujakusanya fedha ambazo zipo kwenye Malimbikizo zilizoshikiliwa kikodi zaidi ya Trilioni 7.35, kesi zipo kwenye Mahakama za Rufani za kodi TRAP & TRAT" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"TRAP & TRAT hizi Mahakama zina changamoto gani kiasi cha kushindwa kukusanya fedha, ukiangalia uwezo wa TRA kushinda kesi katika mashauri ni 81%. Kwenye Malimbikizo ya Trilioni 7.35 tuna uwezo wa kukusanya Trilioni 6. Tunaingia kwenye mikopo, tunaingia kuwawekea wananchi kodi ambazo hazina sababu za Msingi, mapato yapo na hayakusanywi" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Utakatishaji wa fedha Haramu, ufadhili wa ugaidi na ufadhili wa silaha za maangamizi. Taarifa ya FIU inaonyesha miamala ya fedha taslimu zaidi ya Trilioni 280. Utawezaje kukusanya kodi katika nchi ambayo ina miamala ya fedha haramu Trilioni 280" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Hatuoni mikakati ya kushughulika na hizi fedha, hatuoni mikakati ya FIU kushughulika na hizi kesi. Kesi zilizosikilizwa au miamala iliyochambuliwa na FIU ni miamala 769 tu kati ya miamala 16,035. Kuna ukwepaji wa kodi uliopitiliza na utoroshaji wa fedha nje ya nchi nyingi uliopitiliza. Utakusanyaje kodi katika mazingira haya! FIU ni Kitengo tu hakuna mkakati. DCI, PCCB, DPP anafanyaje kazi, na Tanzania bado ipo kwenye Financial Tax Force" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Magendo katika mipaka na bandari. Tunazo Bandari bubu 693 tunashindwaje kuwaweka vijana wajenge tukaweza kukusanya fedha nyingi katika hili eneo!" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Kamati imetueleza, matumizi ya hizi fedha ni mikopo imeingiwa na Serikali, mikopo iliyopo eneo la ECF na LTP ni Trilioni 2.5, Kamati ya Bajeti imetueleza kuwa fedha hizi hazikwenda kwenye matumizi yenye tija zaidi Trilioni 2.75" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Tumekuwa tunaambiwa, tunakopa fedha kwaajili ya Kupeleka kwenye miradi ya Maendeleo. Leo Kamati ya Bajeti imekiri fedha nyingi zimekopwa Trilioni 2.75 na kuelekezwa maeneo ambayo hayana tija kwa kigezo kuwa zimepelekwa kwenye miradi ya Maendeleo" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Leo deni la Taifa limekuwa na asilimia 13.9, sawa na asilimia 14.9 kutoka mwaka mmoja kwenda mwaka mwingine. Ni mikopo ambayo hatujawahi kukopa kwa kiwango hicho. Tumekuwa tunaambiwa fedha zinakwenda kwenye miradi ya Maendeleo, miradi ya kimkakati" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Hoja ya Mkaguzi, zaidi ya Trilioni 1.825 zimekopwa nje ya kibali cha Bunge hili lilivyoidhinisha katika kukopa katika mwaka wa husika wa fedha. Mikopo kama hii ikiendelea kuruhusiwa , Bunge likiendelea kuruhusu mambo kama hayo yafanyike na mikopo ya ECF na LTP ambalo Bunge liliagiza likajadiliwe, nimeona makubaliano inaonekana mmeshindana" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Liletwe jedwali zima la fedha Trilioni 2.75 zinaenda kwenye maeneo gani na Waziri wa Fedha na Mipango amepata wapi kibali cha kwenda kuidhinisha mikopo ya Matumizi ya kawaida wakati msimao wa nchi ni fedha zote zinakwenda kwaajili ya miradi ya Maendeleo" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la

"Waziri wa Fedha na Mipango amepata wapi Mamlaka ya kukubaliana mikopo ambao unenda kwenye natumia ya kawaida badala ya matumizi ya maendeleo!" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

"Fedha za EPC + F ni mfadhili anakuja na hela anaajili wakandarasi yeye, anasimamia mradi yeye, anafanya design yeye, ananunu yeye, mbon hatupewi maelezo ya kina Taifa linapata faida gani. Tutasimamiaje gharama na ubora kwa wakandarasi ambao hatuwalipi sisi" - Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa.

Hoja nzito ambazo hakika zinaivua nguo Serikali ya CCM Awamu ya Sita (6), Kazi iendelee
 
Wasisitize mabasi yatoe risiti za efd mashine.

Mwanza to Dar basi moja ni

Siti 40× 60,000=2,400,000

18% ni 2,400,000×18/100=432,000

432,000× mabasi 200

Chukulia Mwz Dar Mbeya Arusha Mtwara nk kwa siku tu unapata bilions.

Hawa wanamiliki mabasi ndo maana hawakazii risiti za mashine.

Tulipeni kodi wote tuijenge nchi yetu
 
Ukigombea tu urais kura yangu umeipata
 
Wasisitize mabasi yatoe risiti za efd mashine.

Mwanza to Dar basi moja ni

Siti 40× 60,000=2,400,000

18% ni 2,400,000×18/100=432,000

432,000× mabasi 200

Chukulia Mwz Dar Mbeya Arusha Mtwara nk kwa siku tu unapata bilions.

Hawa wanamiliki mabasi ndo maana hawakazii risiti za mashine.

Tulipeni kodi wote tuijenge nchi yetu
Nakuunga mkono mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom