Msaada wa Lodges Geita Mjini

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,087
423
Heshima Kwenu

Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru.

Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo.

Ahsante
 
Unatokea njia gani yaani, mwanza Sengerema, bugulula -lukirini, katoro- Nyankumbu. au msalalaau kakora -mwembeni. Ili sasa tukuelekeze mahali pa kufikia.
 
Kuna Lodge Moja Ipo Ukitoka Soko La Madini Unapandisha Juu
Nililala Ilikuwa Nzuri Na Bei Zake Ni Zile Za Chama Na Serikali (Bei Elekezi)
 
Back
Top Bottom