Hakuna tofauti sana linapokuja kwenye kufanya Advanced Issues. Memory management na vitu vingine vichache tu ndio vimerahisishwa ktk C#. VB ni kwa ajili ya wavivu na watoto :makusudically put:
Uko sawa kabisa, lakini angalia muda unaotumiwa kucode katka c++ Afu ulinganishe na muda unaotumiwa katika vc# au vb.net. Projet ambayo utaifanya kwa wiki 2 ktk c# au vb
unaweza kutumia hata miez 6 katika vc++. Sasa ya kazi gani kuhangaika na c++ kama unatAka kutengeneza os!!!!!
Muda ni muhimu. Ubora wa product pia ni muhimu.