Msaada wa kujifunza programming

Hakuna tofauti sana linapokuja kwenye kufanya Advanced Issues. Memory management na vitu vingine vichache tu ndio vimerahisishwa ktk C#. VB ni kwa ajili ya wavivu na watoto :):makusudically put::)

Uko sawa kabisa, lakini angalia muda unaotumiwa kucode katka c++ Afu ulinganishe na muda unaotumiwa katika vc# au vb.net. Projet ambayo utaifanya kwa wiki 2 ktk c# au vb
unaweza kutumia hata miez 6 katika vc++. Sasa ya kazi gani kuhangaika na c++ kama unatAka kutengeneza os!!!!!
Muda ni muhimu. Ubora wa product pia ni muhimu.
 
Nakushauri ukitaka kufanya uchaguzi wa language kama alivyosema Jangakuu basi chagua .det usichague java, program nyingi zinazotengenezwa kwa java zina tatizo la kuwa SLOW
Pia sikushauri uchague c++ hii itakufanya uione programming ngumu. Chagua vb.net au visual c#,

Java na .NET(C#,VB) zote zinategemea JIT compiler so speed ni almost similar ingawa java inaweza kuwa ahead. Language selection inategemea na kitu unachotaka kufanya. GOOGLE ni kampuni kubwa sana wanatumia JAVA in most of their Applications,wao ndio wanamiliki Operating System ya Android ambayo wamei develop na JAVA, few years to come itakuwa inaongoza ku power many mobile phone devices. Asilimia 90 ya mobile phones zina JAVA(JRE) so ukiwa mobile developer in JAVA utaweza kutengeneza pesa mingi. Usisahau Applications zote za Blackberry nazo ziko developed by mdudu JAVA. Pia JAVA ni Open Source kama PHP na Python. So itakuwa rahisi ku master such languages na kwa haraka sababu ni rahisi kupata support on net due to open source nature,have many users + A lot of ready made libraries kuliko language kama za Microsoft(C# na VB) ambazo hata tools for development zinauzwa bei ghali. Pia kama utaanza kujifunza JAVA,itakuwa rahisi kwako ku move either to C++ au C#,actually ni rahisi sana ku move to C#, C# ni copy ya JAVA with some C++ concepts. JAVA was developed from C++ by Automating some tedious C++ parts. Kazi Kwako..
 
Mzee itabidi nilete ubishi hapa. Java ilikuwa product ya Sun Microsystem na sasa ni ya Oracle. Compiler ya Java ni Javac.

.Net(C#, VB) ni product za Microsoft na hazingiliani na Java.

Ingawaje application nyingi za Android zipo kwenye java, android yenyewe ni Linux based system ambazo ziko developed kutumia C language. Hivyo naomba ufanye utafiti kuhusu usemi wako kuwa Android imekuwa developed kwa kutumia java.

Tukirudi kwenye programming languages zenyewe, kitaalamu wanasema kama tatizo linatatuliwa na lugha moja basi ni lazima liwe linaweza kutatuliwa na lugha nyingine. Hivyo mtu anayejua C# hana tatizo kwenye Java au lugha zingine.

Tools, APIs and libraries hazimfanyi mtu kuwa programmer mzuri. Zinazofanya ni kuongeza productivity tu.
 
Hakuna tofauti sana linapokuja kwenye kufanya Advanced Issues. Memory management na vitu vingine vichache tu ndio vimerahisishwa ktk C#. VB ni kwa ajili ya wavivu na watoto :):makusudically put::)

Kila language ina matumizi. VB isn't kwa wavivu na watoto. VB inaongeza productivity na vilevile hiko embedded katika Microsoft office products. Ukiona watu walivyocheza na Excel kwa VB huwezi kusema ni kwa wavivu na watoto.
 
Heshima mbele wakuu, nina passion ya kujifunza programming, lakini tatizo ni kwamba sijui nianzie wapi, in short computer najua basics zake tu ukizingatia nimesoma biashara kuanzia form 3 mpaka degree, lakini najua hiyo hainizuilii kujifunza programming na vitu vingine, naombeni msaada wenu natajkiwa nianzie wapi ili niweze kujifunza na kumaster on my own bile kuhitaji kwenda chuo chochote.

Toghocho,

Programming ni passion, talent and sacrify. Inasaidia kwenda shule. Lakini kama unavyo vitu nilivyovitaja, you can be a fabolous programmer.
 
Mzee itabidi nilete ubishi hapa. Java ilikuwa product ya Sun Microsystem na sasa ni ya Oracle. Compiler ya Java ni Javac.

.Net(C#, VB) ni product za Microsoft na hazingiliani na Java.

Ingawaje application nyingi za Android zipo kwenye java, android yenyewe ni Linux based system ambazo ziko developed kutumia C language. Hivyo naomba ufanye utafiti kuhusu usemi wako kuwa Android imekuwa developed kwa kutumia java.

Tukirudi kwenye programming languages zenyewe, kitaalamu wanasema kama tatizo linatatuliwa na lugha moja basi ni lazima liwe linaweza kutatuliwa na lugha nyingine. Hivyo mtu anayejua C# hana tatizo kwenye Java au lugha zingine.

Tools, APIs and libraries hazimfanyi mtu kuwa programmer mzuri. Zinazofanya ni kuongeza productivity tu.

ok mkuu,mi sijasema JAVA(Oracle) na C#/VB(Microsoft ) zina uhusiano. nlikuwa nafanya comparison tu. Najua zote zina virtual machines,ila zinatumia JIT ku improve speed. Angalia Java ilikuwepo kabla ya C#,kiurahisi ukizitazama izo language utagundua C# ni copy ya JAVA kwa kiasi kikubwa. pia labda sikufafanua vizuri Android OS ni Linux,Ila all 3rd part applications ziko in JAVA kwani GOOGLE wameichagua iyo language kama primary language for development. We are concerned about applications development not the operating system because its there!
Mkuu library,API na Tools ni muhimu sana. Programming language nzuri lazima iwe na access ya izo vitu. utawezaje ku master a language kama huna tools?
 
Kila language ina matumizi. VB isn't kwa wavivu na watoto. VB inaongeza productivity na vilevile hiko embedded katika Microsoft office products. Ukiona watu walivyocheza na Excel kwa VB huwezi kusema ni kwa wavivu na watoto.
Ilikuwa masikhara tu :glasses-nerdy:
Limiting factor ni kuwa iko kwa windows Pekee kwa hiyo hakuna cross-platform. Tools zake pia limited (VS Express Edition? No!) :nimekataa
 
Usifanye masikhara ukaja kupindisha ukweli. Tools za VB haziko limited. Kama hauko creative unaweza kusema kuwa zipo limited. Mtu creative anafanya mengi na VS Express kuliko asiye Creative na mwenye VS Professional Edition.

Cross-Platform ina limitation zake kwa sababu ni lazima utumie Virtual Machine ambayo nayo inapunguza speed na vilevile ina mapungufu ya native features.

Anyway, ni mazungumzo tu.
 
ok mkuu,mi sijasema JAVA(Oracle) na C#/VB(Microsoft ) zina uhusiano. nlikuwa nafanya comparison tu. Najua zote zina virtual machines,ila zinatumia JIT ku improve speed. Angalia Java ilikuwepo kabla ya C#,kiurahisi ukizitazama izo language utagundua C# ni copy ya JAVA kwa kiasi kikubwa. pia labda sikufafanua vizuri Android OS ni Linux,Ila all 3rd part applications ziko in JAVA kwani GOOGLE wameichagua iyo language kama primary language for development. We are concerned about applications development not the operating system because its there!
Mkuu library,API na Tools ni muhimu sana. Programming language nzuri lazima iwe na access ya izo vitu. utawezaje ku master a language kama huna tools?

Operating System nayo ni application. Database Engine ni application. Web browser ni application. Drivers ambazo zinakufanya utumie hardware ni applications. BIoS ni application. Compiler ni application. JIT ni application. Library, API and programming tools ni applications.

Maana yangu ni kuwa kitu chochote unachotumia katika computer, kuna mtu ametumia muda wake kuprogram. Unapotumia C# au Java, wakati mwingine ni lazima ujiulize ni tools gani walitumia kuandika au kudevelop C# au JAVA api and tools.
 
Back
Top Bottom