Muongozo wa kuwa programmer

alkado_hs

Member
Mar 25, 2023
5
9
Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti), apps kama Facebook Insta TikTok hata hii JF, software maarufu kama Photoshop n.k.

Hivi vitu vyote vimetengenezwa nyuma ya programming.

Programming ndiyo hasa kiini kikubwa cha mapinduzi makubwa ya kiteknolojia unayoyaona sasa.

Kwenye hii thread nitakupa muongozo ambao unaweza kukusaidia uingie kwenye huu ulimwengu wa programming.

Mtu aliyesomea programming tunamuita programmer, tuanze hapa kabla sijakwambia nini maana ya programming.

Programmer ni nani hasa?
Programmer - ni mtu mwenye uwezo wa kuandaa program za kompyuta.

Kuna neno jipya tena, program ya computer - ni orodha ya maelekezo(series of commands/instructions ) unayoipa kompyuta ili itekeleze kazi fulani. Kwa mfano nataka niipe computer commands za kumlogin user kwe app yangu, serious of instructions ninazoweza kuipa computer zinaweza kuwa kama hivi.

IMG-20230720-WA0003.jpg

Hii ni simple login program,Iakin program inaweza kuwa more complex than that kulingana na kazi inayoenda kutekeleza.

Sasa mtu mwenyewe uwezo wa kudesign program itakavyokuwa na kuandika hizo instructions tunamwita PROGRAMMER.

Na kitendo cha kufanya hivyo tunaita programming.
Sitaenda deeper sana kwenye hili kwa 7bu siyo lengo la hii thread.

Sasa haya maelekezo(series of commands) huwa yanaandikwaje kwenye computer?
well, kuipa computer maelekezo ni sawa na kuongea na kompyuta ikufanyie jambo fulani,
Unawezaje sasa kuongea na kompyuta?

Computer haielewi lugha ya kibinadamu, inaelewa lugha ya namba(Binary Number )ambazo ni 0 na 1. Ni ngumu sana kuandika instructions in form of Binary Number, Hapa ndipo zilikuja kuundwa languages ambazo zinaweza kutafsiriwa kuwa Binary Number na hizi languages zinaitwa Programming Languages.

P PROGRAMMING LANGUAGES ni languages anzozitumia programmer kuipa computer maelekezo.
Hizi languages zipo nyingi mfano kuna Python, JavaScript, Java, PHP, C, C++, Kotlin n.k
mfano mzuri ni hiyo program kwenye picha hapo juu, imeandikwa kwa kutumia JavaScript.

Hapo kila language ilitengenezwa kwa ajili ya kazi fulani ambayo inakuwa ipo vizuri kwenye hiyo kazi. Lakini pia huwa zinaingiliana, yaani language moja inaweza kufanya kazi ambazo languages nyingine zinaweza kufanya.

Tatizo lililopo kwa watu wanaoanza kujifunza programming, ni kuchagua ni language gani ya kujifunza au ya kuanza nayo.

hili hasa ndiyo lengo la hii thread. Nitakupa muongozo utakoa kusaidia wapi uanze na language gani usome kulingana na sehemu ambayo unataka ubobee.

Nitaishia hapa kwa siku ya leo, nikipata nafasi nitakuja kuendeza huu uzi.

Again, sijataka kuzama sana kwenye explanations kuhusu programming kwa 7bu siyo lengo la huu uzi. Kwenye huu uzi nataka nitoe maelekezo ya namna ya kuingia kwenye huu ulimwengu wa programming kwa watu ambao ni wapya kwenye hii teknolojia.

See you!
 
View attachment 2700541

Umetisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom