double click
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 569
- 945
polen kwa majukumu nilikuwa naomba kwa anaejua anielekeze ni vp nitapata app ya good lock kwenye samsung niko Tanzania...Hii app inapatikana kwenye baadh ya nchi.
Mwenye kujua naweza vip ku install kwenye simu naomba anisaidie
Mwenye kujua naweza vip ku install kwenye simu naomba anisaidie