Freezer app kwenye samsung

Jimmy son

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
709
1,293
Habarini wadau,
Nauliza jins ya ku freez app ambazo sizitumii mara kwa mara ili kupunguza matumiz ya bando,nilikuwa natumia infinix smart 6 option ilikuwepo Lakini kwenye samsung A04 siioni kama kwenye picha hapo chiniView attachment 2903851
 
Back
Top Bottom