Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Heshima mbele wanajamii
Ebwana natambua kunawadau wengi humu wapo nje ya nchi ( outside Tanzania) aidha kwa muda mrefu ama kwa kipindi tu.
Wakuu naomba kufaham cheap internal calls method ambayo unaipendekeza hasa ile unayotumia ambayo ni gharama ya chini sana kwa upande wako.
Hasa hizi VOIP services mfano CheapVOIP, SmartVOIP, Nonoh,Freecalls n.k kuna huduma gani unayotumia mara kwa mara kuwasiliana nyumbani ambayo unafikiri na mimi mpwa wako naweza kuitumia, nimetumia nonoh kwa kipindi flani lakini
mara kwa mara nimekuwa nakumbana na errors za ajabu ajabu na kushindwa kupiga important calls napo hitaji.
Natanguliza shukrani