mimi nakupa kwanza warining
ujue hapo unafanya copyright infringment
utapewa warning wkt unadownload na wanaweza kukutrace kwa kutumia IP address its very easy kukudaka
marekani washafungwa wengi tu na nchi za ulaya pia.
soma hii kesi ya Pirate bay The Pirate Bay - Wikipedia, the free encyclopedia
sometimes unaweza kutumiwa virus vikauwa pc kwani ni illegal downloading unayotaka kufanya
what to do ni kununua dvd online utapewa instructions za kufanya
wanaita digital downloading after making payment.
acheni kupenda vya bure madhara yake makubwa sana.

Acha kumtisha mwenzio bongo hamna hiyo sheria! nina miaka mitano natumia utorrent napata vitu latest kila leo.
Mkuu, hebu mweleweshe jinsi ya kufanya ili kubuy online kwani kwakweli wabongo wengi hawafanyi hivyo wengine kwa hofu, wengine kwa kutokujua!
google andika jina la movie unayotaka utaelekezwa wapi pa kuipata
utapewa maelekezo yote how to purchase online
utapewa details zote za huyo service provider,adress yake,location, how to pay, how to download nk
ila ujue right to cancell payment inakuwepo kabla hujaanza kudowload
ukishalipa utatumiwa additional terms and conditions
cha muhimu uwe na credit card,visa au mastercard ili uweze kulipa online.
mnaoiba ibeni tu lakni ipo siku mtajuta.
Ongezea Barclays, NBC pia wanatumia debit card, tena huhitaji kuwafuata benki kama wataka kujiunga na mfumo wa manunuzi online, kama paypal.standard chartered bank, exim nadhani na crdb wana hizo visana master card.
ndani yake kuna number utatakiwa kuingiza nadhani digits 14 na pia utaambiwa uingize expire date ya kadi yako na no zingine tatu za siri zipo ktk kadi ukishaingiza bank husika itaveify payment na kukuambia uingize pasword yako then bank itakukata hicho kiasi na kutuma kwa huyo service privider unakonunua dvd.so wizi hakuna.
standard chartered bank, exim nadhani na crdb wana hizo visana master card.
ndani yake kuna number utatakiwa kuingiza nadhani digits 14 na pia utaambiwa uingize expire date ya kadi yako na no zingine tatu za siri zipo ktk kadi ukishaingiza bank husika itaveify payment na kukuambia uingize pasword yako then bank itakukata hicho kiasi na kutuma kwa huyo service privider unakonunua dvd.so wizi hakuna.
Ongezea Barclays, NBC pia wanatumia debit card, tena huhitaji kuwafuata benki kama wataka kujiunga na mfumo wa manunuzi online, kama paypal.
Shughuli pevu kupata credit card tz labda debit nakubali.....
Tatyzo hapa bongo bado tupo tupo kwanza ikija kufuatwa sheria ya mambo hayo mbona tutajificha mvunguni mwa vitanda au kwenye dari kama vitoto vya panya........!!!!Acheni vitisho Utorrent ni safe zaidi ya maelezo.. Nna album za wasanii, movie na vitabu kibao kupitia Utorrent kwa miaka kibao sasa..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums