Pole.Habari wadau
Kuna jamaa aliazima hdd kwa ajili ya kuchukua movies. Baada ya kuirudisha nikichomeka kwenye computer unaisikia imekuwa connected ila haionyeshi .
Nimejaribu kuweka kwenye computer tofauti lakini tatizo bado lipo.
Naomba msaada wenu .
Aisee pole nduguPole.
Hata mimi niliazimisha akaweka kwenye computer yake, akafuta kila kitu
Toka 900 Gb mpaka 0Gb.
Nilichanganyikiwa sana.
Ila nikaenda Samsung stole, wakai-format upya.
Shida yake sasa, hakuna jina la movie hata moja lililorudi, movie zimekuja kwa mfumo wa file kama hv ila zinacheza vizuri tu.
Kwahiyo nikitaka kuangalia movie ni kukisia tu.
Mf. Hio group 1 lilikuwa file la horrors, ila badala ya jina imekuja group 1.
View attachment 2926913
Hapa movie inaendele kuplay, ila haina jina jina ni file 000001
View attachment 2926914
Hap mfumo wa file na namba
View attachment 2926915
Hapa mfumo wa AVC
View attachment 2926916
Nami kama kuna mtaalamu anisaidie.
Kila kitu kimerudi kasoro majina ya movie, files, miziki, documents zinakuja mfumo huo.
Mtaalam atusaidie publito