Msaada; Tshs 85Mil, inajenga Ghorofa??

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,156
Wadau,
Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji,
Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari ninacho,
Nauliza tu kwa mgao huu naweza kupata Nyumba ya Ghorofa 1 kwa mahesabu ya Fundi + Materials??
 
Kwani ni lazima utwambie hela ni za urithi? By the way unaweza kujenga inategemea ni maeneo gani.....
 
Inategemea sana na ukubwa wa hiyo gorofa iliyoko kwenye mawazo yako.
 
Wadau,
Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji,
Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari ninacho,
Nauliza tu kwa mgao huu naweza kupata Nyumba ya Ghorofa 1 kwa mahesabu ya Fundi + Materials??
Sir. Burn kama utasimamia mwenyewe ujenzi huo inakutosha na hata finishing....kuwa makini na mafundi tu....
 
Kwani ni lazima utwambie hela ni za urithi? By the way unaweza kujenga inategemea ni maeneo gani.....

Kaka boss wangu ni member hapa Jf na anaijua username yangu,
Akijua nina 85Mil ya kujenga ni kesi.
Najenga Kibada!!
 
Wewe unataka ushauri halafu unatoa habari nusu nusu. Unataka kujenga nyumba ya ghorofa moja ya vyumba vingapi vya kulala, sebule ngapi? Je kila chumba kitakuwa self contained au hapana!!! Inabdid ulete habari kamili ya ghorofa unayotaka kujenga ili ushuariwe vizuri. Lakini kwa kifupi kwa gharama halisi za vifaa vya ujenzi, kujenga ghorofa kwa millioni 85 nina mashaka hazitoshi!!!!

Tiba
 
fedha hizo utajenga msigi a stracture,,,si zaidi ya hapo,kwa vyumba 4,sitn ,dain kitchn,,,,,,,,watchout,,mafudi ni janga
 
Matajiri wa JF, quick money 187 m, ghorofa ya 85m, .... Tanzania bana ndo maana tunatawalika kirahisi hata chizi anaweza kututawala
 
Duh kama unajenga ya bishara I am with you,lakini kama ya kuishi mwenyewe,kwakweli hailipi.....kwanini usijenge simple houses kwa ajili ya soko la watu wa kati,like duplex house each with two bedroom na sitting room yake ,you might end up 500k per month x6x 2=6mil per annum....
 
Kaka boss wangu ni member hapa Jf na anaijua username yangu,
Akijua nina 85Mil ya kujenga ni kesi.
Najenga Kibada!!

sio sir Sir.Burn umefanya siku yangu iende vizuri sana! Umen'chekesha sana!
 
Duh kama unajenga ya bishara I am with you,lakini kama ya kuishi mwenyewe,kwakweli hailipi.....kwanini usijenge simple houses kwa ajili ya soko la watu wa kati,like duplex house each with two bedroom na sitting room yake ,you might end up 500k per month x6x 2=6mil per annum....
kaka eneo nlilopata ni hili walipopima viwanja vya serikali na majirani wote wameangusha mgorofa.

Kama nataka kutoka "kivyangu" nitakua kama alama flani hivi, may be nkajenge kwingine ya aina hiyo uliyotaja
 
fedha hizo utajenga msigi a stracture,,,si zaidi ya hapo,kwa vyumba 4,sitn ,dain kitchn,,,,,,,,watchout,,mafudi ni janga

tuseme kama nkidhibiti mafundi naweza kufanikiwa??
 
Wewe unataka ushauri halafu unatoa habari nusu nusu. Unataka kujenga nyumba ya ghorofa moja ya vyumba vingapi vya kulala, sebule ngapi? Je kila chumba kitakuwa self contained au hapana!!! Inabdid ulete habari kamili ya ghorofa unayotaka kujenga ili ushuariwe vizuri. Lakini kwa kifupi kwa gharama halisi za vifaa vya ujenzi, kujenga ghorofa kwa millioni 85 nina mashaka hazitoshi!!!!
Tiba
Ramani ningeweza ku-attach hapa but sina soft copy yake.
But Nyumba ni vyumba vinne vya kulala, viwili juu Na viwili chini.
Library juu, wakati jiko Na stoo chini.
Self container ni kimoja cha juu tu.
 
kaka eneo nlilopata ni hili walipopima viwanja vya serikali na majirani wote wameangusha mgorofa.

Kama nataka kutoka "kivyangu" nitakua kama alama flani hivi, may be nkajenge kwingine ya aina hiyo uliyotaja

Well i used to have the same mind set when i was building my first house,kujenga nyumba ya hadhi kulingana na eneo.....ukweli wa mambo nyumba ya kushi mwenyewe ya thamani kuubwa wakati wewe bado mtafutaji hailipi......so ukishajenga hilo ghorofa lets say ukamaliza kwa uwezo wa mungu,je utakaa mwenyewe au utapangisha kuigiza kipato,na kama utapangisha kwa bei gani ambayo italipa kama investment?......nadhani ni bora kuangalia tija zaidi......kama vp hicho kiwanja Kiwekee uzio hata senyenge na edge ya michongoma after three years kitakuwa na bei pouwa kabisa,at the same time nunua kiwanja maeneo ambayo kuna mahitaji ya makazi kwa watu wenye kipato cha kati jenga simple houses!
 
Ramani ningeweza ku-attach hapa but sina soft copy yake.
But Nyumba ni vyumba vinne vya kulala, viwili juu Na viwili chini.
Library juu, wakati jiko Na stoo chini.
Self container ni kimoja cha juu tu.

Kama ni ghorofa la ukubwa huo, hiyo milioni 85 yako haitoshi kitu, labda inaweza kumaliza msingi na kusimamisha na kuinua ukuta. Sidhani kama inaweza kumwaga slub kwa ajili ya kuanza kuinua ukuta wa first floor.

Jipange upya ndugu yangu!!!!

Tiba
 
Mkuu 85mils inajenga ghorofa hilo unalotaka,kama upo fresh ni-PM nifanye kazi hio hadi finishing na chenji inabaki ya kununulia gari la kutembelea,haiwezekani una ghorofa halafu unatembea kwa miguu,ni PM fasta tufanye kazi hyo!
 
Back
Top Bottom