Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
wakuu heshima mbele
Ninahitaji sana SPSS program (Statistical Package for Social Scientists).
Kuna thread moja iliwahi kutoka inafanana na hii lakini nimejaribu ku serach bila mafanikio.
Natanguliza shukrani