Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
Kwema Wakuu!

Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai.

Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali.
Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na;

1. Kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa?

2. Je ni utaratibu upi upo kisheria iwe za kitaifa au kimataifa kwa nchi kuuzwa?

3. Je wakati nchi inauzwa inaweza kuwa utashi wa viongozi au wananchi wanaweza kuamua nchi yao iuzwe kwa kupiga kura kisha iuzwe?

4. Je Madeni yanaweza kuifanya nchi Iuzwe? Au kuna sababu nyingine kubwa?

5. Kama kauli hiyo ni propaganda, kwa nini hiyo kauli hufikiriwa mara kwa mara kwa kujirudia?

6. Kwa nini wanaohofia nchi kuuzwa mara nyingi hawapo kwenye Ulaji? Je hutumia kauli hiyo kuchochea wananchi kuhusu jambo fulani?

Natanguliza shukrani kwa heshima na taadhima. Wenye majibu naombeni mje.

Wasalamu
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
 
Inawezekana mfano mdogo ni mikopo ya kausha damu inavyopelekea malizawatu kuuzwa
Hivyo ndivyo na Nchi itakavyo uzwa
 
Nadhani nchi kuuzwa wanamaanisha mali za nchi, mfano madini, gesi ,mbuga na maliasili zingine kuwa chini ya wageni kutokana na mikataba ya kilaghai ambayo serikali imeingia na mataifa ya kigeni . Hapa mwananchi anakuwa hafaidiki na rasilimali . Hapo ndio inatafsirika kwamba nchi imeuzwa.
 
serikali inaweza kuuza au kukodisha eneo la nchi kwa sababu mbalimbali moja wapo ni ukata.

Vifungu vya kimikataba vinaweza kutafsiri kuwa eneo katika nchi limeuzwa kutokana na makubaliano mlio ingia ndani ya mikataba hiyo.

Kauli ya kuuzwa nchi sio kauli ya kipropaganda bali ni kauli ya kitahadhari juu ya mikataba au madeni yenye mashariti tata serikali inapo tia sahihi.

Madeni pia yanaweza kufanya eneo ndani ya nchi kukodishwa au kuuzwa kulingana na vipengele vya kimikataba serikali iliyo ingia na mahakama ya kimataifa ikathibitisha bila shaka haukufanyika ulaghai wowote wakati wa kutia saini.

Sio wote wanao hofia nchi kuuzwa hawapo kwenye ulaji au wametemwa kwenye ulaji wengine huofia kizazi chake na kijacho juu ya usalama wao pale watakapo geuka watumwa ndani ya ardhi yao iliyo potezwa kwa uzembe wa serikali yao waliyo iweka madarakani.

Machache hayo nimejaribu kuelezea navyoweza.
 
Kwema Wakuu!

Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai.

Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali.
Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na;

1. Kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa?
2. Je ni utaratibu upi upo kisheria iwe za kitaifa au kimataifa kwa nchi kuuzwa?
3. Je wakati nchi inauzwa inaweza kuwa utashi wa viongozi au wananchi wanaweza kuamua nchi yao iuzwe kwa kupiga kura kisha iuzwe?

4. Je Madeni yanaweza kuifanya nchi Iuzwe? Au kuna sababu nyingine kubwa?
5. Kama kauli hiyo ni propaganda, kwa nini hiyo kauli hufikiriwa mara kwa mara kwa kujirudia?

6. Kwa nini wanaohofia nchi kuuzwa mara nyingi hawapo kwenye Ulaji? Je hutumia kauli hiyo kuchochea wananchi kuhusu jambo fulani?

Natanguliza shukrani kwa heshima na taadhima. Wenye majibu naombeni mje.

Wasalamu
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Porojo za kijinga na kipuuzi ambazo Huwa wanaambiwa wasioelewa.

Kama ni kuuzwa zingeanza kuuzwa hizi hapa 👇

View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1774535241761173605?t=OICRN22vz37Rlq_adA7QiQ&s=19
 
Ugiriki

On 2 May, the European Commission, European Central Bank (ECB) and International Monetary Fund (IMF) (the Troika) launched a €110 billion bailout loan to rescue Greece from sovereign default and cover its financial needs through June 2013, conditional on implementation of austerity measures.
 
bora ingeuzwa angakau kuna chochote kitu labda kingeingia hazina, imegawiwa bure kama hauamini uliza warabu wametransfer kiasi gani hazina baada ya kupewa bandari yetu? uliza waarabu waliopewa ngorongoro na kufukuzwa kwa wamasai wametranfer kiasi gani hazina? ni wapi kuna hela yoyote kutoka kwa mwarabu iliyoingia hazina kutoka loliondo? Na sasa mwendokasi yetu mwarabu kalipia kiasi gani hazina ? majibu ya hayo maswali utaona kwamba ni kweli nchi haijauzwa bali imegawiwa bureee …
 
Kwema Wakuu!

Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai.

Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali.
Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na;

1. Kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa?
2. Je ni utaratibu upi upo kisheria iwe za kitaifa au kimataifa kwa nchi kuuzwa?
3. Je wakati nchi inauzwa inaweza kuwa utashi wa viongozi au wananchi wanaweza kuamua nchi yao iuzwe kwa kupiga kura kisha iuzwe?

4. Je Madeni yanaweza kuifanya nchi Iuzwe? Au kuna sababu nyingine kubwa?
5. Kama kauli hiyo ni propaganda, kwa nini hiyo kauli hufikiriwa mara kwa mara kwa kujirudia?

6. Kwa nini wanaohofia nchi kuuzwa mara nyingi hawapo kwenye Ulaji? Je hutumia kauli hiyo kuchochea wananchi kuhusu jambo fulani?

Natanguliza shukrani kwa heshima na taadhima. Wenye majibu naombeni mje.

Wasalamu
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
This happens by "implication" this means, nchi itabidi iingie mikataba ya mbalimbali inayowezesha unyonyaji wa kutosha unao iwezesha nchi mdeni kuhamisha mali. Mikataba inakuwa haina mutuality, mikataba miaka 99 nk. Hii sio nadharia, it is now pratical, kwa sababu mdeni anapewa advantage of lion share
 
Kwema Wakuu!

Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai.

Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali.
Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na;

1. Kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa?

2. Je ni utaratibu upi upo kisheria iwe za kitaifa au kimataifa kwa nchi kuuzwa?

3. Je wakati nchi inauzwa inaweza kuwa utashi wa viongozi au wananchi wanaweza kuamua nchi yao iuzwe kwa kupiga kura kisha iuzwe?

4. Je Madeni yanaweza kuifanya nchi Iuzwe? Au kuna sababu nyingine kubwa?

5. Kama kauli hiyo ni propaganda, kwa nini hiyo kauli hufikiriwa mara kwa mara kwa kujirudia?

6. Kwa nini wanaohofia nchi kuuzwa mara nyingi hawapo kwenye Ulaji? Je hutumia kauli hiyo kuchochea wananchi kuhusu jambo fulani?

Natanguliza shukrani kwa heshima na taadhima. Wenye majibu naombeni mje.

Wasalamu
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Swali unatutega WaTz? Taikon mzima huelewi nini kinaongelewa hapa?
Kuuzwa sio kama vile bidhaa unainunua, ila ni kujikuta kila shilingi mnayoingiza, inasubiriwa na anayewadai ili ajilipe deni lake. Mengine ndio kama ndege kukamatwa, miundombinu mfano bandari kuwa chini ya wanaowadai n.k. Fuatilia deni la Zambia kutoka China.
 
Back
Top Bottom