Msaada Serious

mfanyie vi suprise vidogo vidogo,kulingana na uwezo wako.Au hata muandikie message za mapenzi muekee chini ya mto,mpelekee viji lunch kazini mtume mtu maalum wa kumpelekea,akishakupata hiyo lunch,muulize kama ameipenda kwa lugha ya mapenzi.ukiamka tu asubuhi,neno la kwanza mwaimbie jinsi gani unavyompenda.ikifika week end,umwambie leo nataka kukutoa out,just me and you.na kama una uwezo wa kukodi limouzine,unakodi kwa ajili ya kumtoa out,[bongo yapo]na kama huo uwezo huna haina neno.mnunulie chupi nzuri {zawadi kama hiyo wanawake wengi tunaipenda}mwambie kwa lugha ya mapenzi aivae ili umuone.vilevile ikifika anniversary yenu,isipite hivihivi fanya suprise ndogo yoyote ile,kama uwezo unakuruhusu,siku hiyo safiri nae,kaa nae hoteli nzuri,ukweli ata enjoy sana tu,baada ya kufanya yote hayo,usisahau kutupa matokeo humu j.f,jamani wanaume muwe hivyo,sio lazima haya niliyoyasema lakini wapeni attention za kimahaba wake zenu.
thanks kisukari umeongea points tupu
 
Jambo jengine,akikukasirisha,mjibu kwa njia ya jokes,au yeye akikasirika,mfano mwambie mmh sweetie wangu{kama una mtoto }sio kila wakati mama fulani hapana,mama John,mama beatrice haihusu.mara moja moja majina ya mapenzi yanatosha,mmh darling wangu unavyozidi kukasirika ndio unazidi kupendeza,uzuri wako unazidi kila siku. Atacheka tu.jokes jokes za mapenzi nazo zinasaidia. mara moja moja mke akienda kuoga mwambie mke wangu leo nataka nikusugue mgongo.unamsugua huku unazidi kumpa maneno ya mapenzi,jamani raha mwee kupendwa.lakini yote hayo unaweza ukamfanyia mwanamme na akatafuta nyumba ndogo,ila funzadume nimependa kwa uamuzi wako wa kutaka kumridhisha mke wako,maana kila kitu wanawake tuwafanyie wanaume.
nataka kufanya mabadiliko ya maisha unajua life ndio ili ili hakuna jingine nataka mke wangu afurahie kuolewa na mm maana furaha ndio kila kitu ktk maisha ya mwnadamu na sisi wanaume uwa tuna mapungufu sana lakini lawama zote tunawatupia wake zetu nataka kubadilika for real na sina nyumba ndogo kwa sasa na sitaki tena huo upuuzi
 
Ha ha ha ha we funzadume kwahiyo before ulikuwa nayo?:becky::becky::becky:
 
Yote mliyotaja tisa, kumi hakikisha at the end of Art anakuwa unconscious for 30 or one hour
 
nataka kufanya mabadiliko ya maisha unajua life ndio ili ili hakuna jingine nataka mke wangu afurahie kuolewa na mm maana furaha ndio kila kitu ktk maisha ya mwnadamu na sisi wanaume uwa tuna mapungufu sana lakini lawama zote tunawatupia wake zetu nataka kubadilika for real na sina nyumba ndogo kwa sasa na sitaki tena huo upuuzi
Nimependezwa na maelezo yako mkuu ila zaidi ni hapo kwenye red colour, kumbe hata na mimi kuna siku ntabadilika eeh.........ngoja niendelee na hii small house yangu kwa raha zangu
 
Wanawake hawapendeki! Hakikisha yeye anafuata wewe unachopenda na maisha yenu yatakuwa murua kabisa.
 
Back
Top Bottom