funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Wadau nataka kuifanya ndoa yangu iwe na furaha mno. Je wanawake wanapenda vitu gani nimfanyie my wife wangu ili awe na furaha muda wote na kuepusha migogoro kwenye ndoa naomba ushauri na mawazo na nitaufanyia kazi. Sema chochote ambacho una uhakika wanawake wanapenda kufanyiwa ili nami nikifanye please. Wanawake naomba mnisaidie serious nataka mabadiliko chanya