Msaada Serious

mfanyie vi suprise vidogo vidogo,kulingana na uwezo wako.Au hata muandikie message za mapenzi muekee chini ya mto,mpelekee viji lunch kazini mtume mtu maalum wa kumpelekea,akishakupata hiyo lunch,muulize kama ameipenda kwa lugha ya mapenzi.ukiamka tu asubuhi,neno la kwanza mwaimbie jinsi gani unavyompenda.ikifika week end,umwambie leo nataka kukutoa out,just me and you.na kama una uwezo wa kukodi limouzine,unakodi kwa ajili ya kumtoa out,[bongo yapo]na kama huo uwezo huna haina neno.mnunulie chupi nzuri {zawadi kama hiyo wanawake wengi tunaipenda}mwambie kwa lugha ya mapenzi aivae ili umuone.vilevile ikifika anniversary yenu,isipite hivihivi fanya suprise ndogo yoyote ile,kama uwezo unakuruhusu,siku hiyo safiri nae,kaa nae hoteli nzuri,ukweli ata enjoy sana tu,baada ya kufanya yote hayo,usisahau kutupa matokeo humu j.f,jamani wanaume muwe hivyo,sio lazima haya niliyoyasema lakini wapeni attention za kimahaba wake zenu.


haya macho yangu nadhani yana matatizo mi ndo nimepapenda hapo.......sukari.....tamu kama kisukari eeh

The Following 4 Users Say Thank You to kisukari For This Useful Post:

funzadume (Today), Kaizer (Today), KakaJambazi (Today), The Finest (Yesterday)​
 
haya macho yangu nadhani yana matatizo mi ndo nimepapenda hapo.......sukari.....tamu kama kisukari eeh

The Following 4 Users Say Thank You to kisukari For This Useful Post:

funzadume (Today), Kaizer (Today), KakaJambazi (Today), The Finest (Yesterday)
Tena sana tu,mimi ni mtu romantic ila sijabahatika kupata nitakaemuenzi kwa yote,sometimes life is not fair.Lakini ndio maisha,omba bahati duniani.
 
Hii ni kuu kuliko zote:
Mpende Mungu wako kwa akili zako zote, ya pili ya fanana na hiyo, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

Pia shika amri kumi za Mungu. Utaishi kwa amani na mkeo. Na mkeo afanye vivyo hivyo.
 
AAGH Wachangiaji wote mliopita mmeniboa hamna sifa ya kuitwa great thinkers.Au pengine hamjabahatika kuwa na wenzi wa maisha.Hayo yote mliyomwambia Funzadume ni material things.Point imetoka kwa NGASIBARA tu na mimi ninaipigia mstari.Maana nini maana ya ndoa kama tendo lenyewe ni kiduchu.Utampa machupi na ma outing mpaka basi lakini kama hapati chakula ya ndoa ujue utasaidiwa tu.Hivyo ndugu yangu hakikisha inapofika muda wa kuimarisha ndoa unaiimarisha hasa na sio kujiridhisha wewe tu.Halafu utaniambia hapa maana hata material things zikikosekana atakuvumilia kutokana na real satisfaction anayoipata toka kwako na hiyo ndio ndoa.
 
Wadau nataka kuifanya ndoa yangu iwe na furaha mno. Je wanawake wanapenda vitu gani nimfanyie my wife wangu ili awe na furaha muda wote na kuepusha migogoro kwenye ndoa naomba ushauri na mawazo na nitaufanyia kazi. Sema chochote ambacho una uhakika wanawake wanapenda kufanyiwa ili nami nikifanye please. Wanawake naomba mnisaidie serious nataka mabadiliko chanya


...'Jifanye' unamsikiliza kwa makini hata kama huelewi 'vuvuzela' (whining & moanings) zake.
Tena ikiwezekana tingisha sana kichwa, pa kusikitika shika tama. Usichangie lolote wala kumkatisha 'lyrics' zake.
 
...'Jifanye' unamsikiliza kwa makini hata kama huelewi 'vuvuzela' (whining & moanings) zake.
Tena ikiwezekana tingisha sana kichwa, pa kusikitika shika tama. Usichangie lolote wala kumkatisha 'lyrics' zake.
hii nayo imetulia sana
 
likes ziko tofauti ujue usije ukaleta mambo mapya yakamkera mkeo by ze wei vip ulifaniliwa??? maaana hii post ni ya longi taimu
 
Back
Top Bottom