Mwanamke hupaswi kumwamini mwanaume yeyote anayekwambia "nakupenda"

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,520
22,014
Hii ni maalumu kwa ladies wote ambao hamjaolewa.

Ni hivi, hupaswi kabisa kumwamini mwanamume anapokwambia "nakupenda" kabla hajakuoa.

Kwa kawaida mwanaume hutumia neno "nakupenda" akilenga kufanya ngono tu na mwanamke ili kutimiza tamaa yake ya mwili baada ya kuvutiwa na shepu yako tu, kisha hutoweka mazima baada ya lengo kutimiza na kukuacha na maumivu makali.

Wanawake wengi huwa hawaelewi maana ya neno "nakupenda" huwa linamaanisha nini kwa mwanaume!

Katika uchumba wa kawaida, mwanamume anaposema, “Nakupenda,” ni sawa na kukuambia tu kwamba anataka ngono.

Kwa wanawake wengi, huwa hawaoni kitu kama kufanya ngono tu, bali wao hupokea na kuamini juu ya kufanya mapenzi ya kweli na huunganishwa kihisia baada ya kusikia neno "nakupenda" wakitamkiwa na mwanaume.

Mwanamke, unapolala na mwanamume, unashiriki upendo wako - unaachilia mapenzi yako kwa mwanaume huyo. Lakini huyo huyo mwanamume ambaye si mwenzi wako wa maisha anakuona wewe kama kichezeo chake tu cha kumpa furaha yake ya ngono!

Ingawa wanaume na wanawake wote ni viumbe vya kihisia, lakini wanaume wengi huona ngono kabla ya ndoa kawaida tu kama shughuli ya kufurahisha mwili.

Akiisha kukuonja usitarajie simu au SMS baada tu baada ya kushiriki naye ngono kwa usiku mmoja na kuondoka, hatakutafuta hadi hamu yake ya ngono itakapomvaa tena ndipo atakutafuta tena akuchezee.

Isingekuwa kwa ahadi za kimaadili, kidini na kifamilia, wanaume wengi wangelala na kila mwanamke anayemvutia kingono.

Wanawake wengi mnaweza kuridhika na mwanamume mmoja anayejali, anayewajibika na wa kimapenzi, ila kwa wanaume ni ngumu sana kuridhika.

Ingawa wanaume wanapenda wanawake wa tabia, wanaume wanavutiwa zaidi na mwili wa mwanamke kwa muda tu ila kiukweli hakuna upendo wa kudumu. Ndio maana kuna wanaume wengi walio na uraibu wa ponografia, vilabu vya kuvua nguo na picha za wanawake uchi.

Ikiwa hutaki kuendelea kuumizwa na wanaume, sema HAPANA kwa ngono kabla ya ndoa hadi huyo jamaa atakapofanya ahadi rasmi na kufunga ndoa nawe.

Ndoa haihitaji umati kushuhudia - ni agano kati ya watu wawili na Mungu.

Huo umati utakaotaka kuualika kushuhudia ndoa yako hauwezi kuifanya ndoa yako kuwa ya agano lililo rasmi.

NB: wanaume tusicomment chochote tusome tu comments za wanawake, hili ni bandiko linalowahusu wao.

Barikiwa
 
Wanawake mnapaswa mtambue kwa upana kuhusu upendo, hisia, tamaa, na ndoa ambayo ni mkataba unaotambulika kisheria.

Mwanamke unaweza ukawa unapendwa na mwanaume na ukatamani huyo mwanaume awe mume wako. Ama mwanaume unaweza ukawa unapendwa na mwanamke na ukatamani huyo mwanamke awe mke wako. Ila ndoa ikashindikana sababu hau qualify kuolewa na huyo mwanaume ama kumuoa huyo mwanamke.

Ndoa ni mkataba unaotambulika kisheria.

Ndoa ni partnership. Ndoa inafanana sana na business partnership. Unapofungua kampuni ama biashara unapaswa kumchagua partner wa kushirikiana nae kwenye hiyo biashara kwa kufata uwezo wake ama ujuzi wake. Huwezi kusema namchagua fulani sababu nampenda nina hisia nae. Hapo kampuni itakufa mapema sana kama ukitumia upendo kumchagua partner. Hivyo lazima mjue upendo sio sababu kuu ya ndoa kufungwa. Upendo ni added advantage tu. Usitegemee mwanaume akuoe kisa anakupenda ama wewe unampenda.

Wanawake wengi wanataka waoelwe na wanaume ambao hawafanani nao.

Kuanzia familia walipozaliwa. Huwezi kuzaliwa familia ya kajamba nani ukataka uolewe na familia yenye status kubwa kwa kusingizia upendo na hisia.

Huwezi zaliwa familia ya ushirikina na ukataka uoe familia ya kitakatifu
 
Hii ni maalumu kwa ladies wote ambao hamjaolewa.

Ni hivi, hupaswi kabisa kumwamini mwanamume anapokwambia "nakupenda" kabla hajakuoa.

Kwa kawaida mwanaume hutumia neno "nakupenda" akilenga kufanya ngono tu na mwanamke ili kutimiza tamaa yake ya mwili baada ya kuvutiwa na shepu yako tu, kisha hutoweka mazima baada ya lengo kutimiza na kukuacha na maumivu makali.

Wanawake wengi huwa hawaelewi maana ya neno "nakupenda" huwa linamaanisha nini kwa mwanaume!

Katika uchumba wa kawaida, mwanamume anaposema, “Nakupenda,” ni sawa na kukuambia tu kwamba anataka ngono.

Kwa wanawake wengi, huwa hawaoni kitu kama kufanya ngono tu, bali wao hupokea na kuamini juu ya kufanya mapenzi ya kweli na huunganishwa kihisia baada ya kusikia neno "nakupenda" wakitamkiwa na mwanaume.

Mwanamke, unapolala na mwanamume, unashiriki upendo wako - unaachilia mapenzi yako kwa mwanaume huyo. Lakini huyo huyo mwanamume ambaye si mwenzi wako wa maisha anakuona wewe kama kichezeo chake tu cha kumpa furaha yake ya ngono!

Ingawa wanaume na wanawake wote ni viumbe vya kihisia, lakini wanaume wengi huona ngono kabla ya ndoa kawaida tu kama shughuli ya kufurahisha mwili.

Akiisha kukuonja usitarajie simu au SMS baada tu baada ya kushiriki naye ngono kwa usiku mmoja na kuondoka, hatakutafuta hadi hamu yake ya ngono itakapomvaa tena ndipo atakutafuta tena akuchezee.

Isingekuwa kwa ahadi za kimaadili, kidini na kifamilia, wanaume wengi wangelala na kila mwanamke anayemvutia kingono.

Wanawake wengi mnaweza kuridhika na mwanamume mmoja anayejali, anayewajibika na wa kimapenzi, ila kwa wanaume ni ngumu sana kuridhika.

Ingawa wanaume wanapenda wanawake wa tabia, wanaume wanavutiwa zaidi na mwili wa mwanamke kwa muda tu ila kiukweli hakuna upendo wa kudumu. Ndio maana kuna wanaume wengi walio na uraibu wa ponografia, vilabu vya kuvua nguo na picha za wanawake uchi.

Ikiwa hutaki kuendelea kuumizwa na wanaume, sema HAPANA kwa ngono kabla ya ndoa hadi huyo jamaa atakapofanya ahadi rasmi na kufunga ndoa nawe.

Ndoa haihitaji umati kushuhudia - ni agano kati ya watu wawili na Mungu.

Huo umati utakaotaka kuualika kushuhudia ndoa yako hauwezi kuifanya ndoa yako kuwa ya agano lililo rasmi.

NB: wanaume tusicomment chochote tusome tu comments za wanawake, hili ni bandiko linaliwahusu watu.

Barikiwa
Unachijawia hadi wewe mwenyewe
 
Dadamtu ukuje hapa uchangie kauzi kenu
 
Wanawake mnapaswa mtambue upendo, hisia, tamaa, na mkataba kisheria.

Mwanamke unaweza ukawa unapendwa na mwanaume na ukatamani huyo mwanaume awe mume wako. Ama mwanaume unaweza ukawa unapendwa na mwanamke na ukatamani huyo mwanamke awe mke wako. Ila ndoa ikashindikana sababu hau qualify kuolewa na huyo mwanaume ama kumuoa huyo mwanamke.

Ndoa ni mkataba kisheria.

Ndoa ni partnership. Ndoa inafanana sana na business partnership. Unapofungua kampuni ama biashara unapaswa kumchagua partner wa kushirikiana nae kwenye hiyo biashara kwa kufata uwezo wake ama ujuzi wake. Huwezi kusema namchagua fulani sababu nampenda nina hisia nae. Hapo kampuni itakufa mapema sana kama ukitumia upendo kumchagua partner.

Wanawake wengi wanataka waoelwe na wanaume ambao hawafanani nao.

Kuanzia familia walipozaliwa. Huwezi kuzaliwa familia ya kajamba nani ukataka uolewe na familia yenye status kubwa kwa kusingizia upendo na hisia.
Nakazia
 
Hii ni maalumu kwa ladies wote ambao hamjaolewa.

Ni hivi, hupaswi kabisa kumwamini mwanamume anapokwambia "nakupenda" kabla hajakuoa.

Kwa kawaida mwanaume hutumia neno "nakupenda" akilenga kufanya ngono tu na mwanamke ili kutimiza tamaa yake ya mwili baada ya kuvutiwa na shepu yako tu, kisha hutoweka mazima baada ya lengo kutimiza na kukuacha na maumivu makali.

Wanawake wengi huwa hawaelewi maana ya neno "nakupenda" huwa linamaanisha nini kwa mwanaume!

Katika uchumba wa kawaida, mwanamume anaposema, “Nakupenda,” ni sawa na kukuambia tu kwamba anataka ngono.

Kwa wanawake wengi, huwa hawaoni kitu kama kufanya ngono tu, bali wao hupokea na kuamini juu ya kufanya mapenzi ya kweli na huunganishwa kihisia baada ya kusikia neno "nakupenda" wakitamkiwa na mwanaume.

Mwanamke, unapolala na mwanamume, unashiriki upendo wako - unaachilia mapenzi yako kwa mwanaume huyo. Lakini huyo huyo mwanamume ambaye si mwenzi wako wa maisha anakuona wewe kama kichezeo chake tu cha kumpa furaha yake ya ngono!

Ingawa wanaume na wanawake wote ni viumbe vya kihisia, lakini wanaume wengi huona ngono kabla ya ndoa kawaida tu kama shughuli ya kufurahisha mwili.

Akiisha kukuonja usitarajie simu au SMS baada tu baada ya kushiriki naye ngono kwa usiku mmoja na kuondoka, hatakutafuta hadi hamu yake ya ngono itakapomvaa tena ndipo atakutafuta tena akuchezee.

Isingekuwa kwa ahadi za kimaadili, kidini na kifamilia, wanaume wengi wangelala na kila mwanamke anayemvutia kingono.

Wanawake wengi mnaweza kuridhika na mwanamume mmoja anayejali, anayewajibika na wa kimapenzi, ila kwa wanaume ni ngumu sana kuridhika.

Ingawa wanaume wanapenda wanawake wa tabia, wanaume wanavutiwa zaidi na mwili wa mwanamke kwa muda tu ila kiukweli hakuna upendo wa kudumu. Ndio maana kuna wanaume wengi walio na uraibu wa ponografia, vilabu vya kuvua nguo na picha za wanawake uchi.

Ikiwa hutaki kuendelea kuumizwa na wanaume, sema HAPANA kwa ngono kabla ya ndoa hadi huyo jamaa atakapofanya ahadi rasmi na kufunga ndoa nawe.

Ndoa haihitaji umati kushuhudia - ni agano kati ya watu wawili na Mungu.

Huo umati utakaotaka kuualika kushuhudia ndoa yako hauwezi kuifanya ndoa yako kuwa ya agano lililo rasmi.

NB: wanaume tusicomment chochote tusome tu comments za wanawake, hili ni bandiko linaliwahusu watu.

Barikiwa
mimi nishalala nae Na Ninampenda Bado na Ninamtumia Sms Kila siku , na nitamuoa.
 
Mkuu k8nyume chake ni sahihi. Mwanamke akikwambia anakupenda usimwamini sababu ukiishiwa tu anaondoka na mwingine
 
Binamu kizazi hiki hakitaki ushauri wa namna hii,kizazi Cha mizagamuono hiki
Pamoja na kupenda hayo mamuzagamuano yao wakitendwa huwa wanakuja kuomba ushauri na ndio maana tunatanguliza ushauri kabla hawajatendwa.

Hapo ni mwenye sikio na asikie
 
Back
Top Bottom