Msaada pls

Merytina,mbona mimi nafahamu wanawake kibao ambao a day kabla ya sendoff yao wanakwenda kulalana na mabwana zao eti cha mwisho na weekend wanafunga ndoa na mtu mwingine,inatokea mara nyingi tu. Labda useme 'why human beings are like this?' , hapo nitakuelewa.
Hahaha!!!!
 
Amenipigia muda mfupi uliopita jamaa kaja kuchukua vitu vyake vyote ikiwemo gari, kadi ya gari japo alimuandikisha na kila kitu, anasem aanataka amlee mtoto wake, yeye hakupata mapenzi ya baba kwa hiyo anataka mtoto wake ayapate. anamwambia samahani kwa kukupotezea muda
Gari asimpe,kama kadi ina jina lake akaripoti polisi watalikamata walipeleke kituo cha polisi,msiwe mabwege bana.Na hili jamaa **** sana mwanamke ukishampa kitu imetoka hiyo sio baadae unakuja kumdai,kwani huo utamu aliokupa amekudai?
 
Aiseee!
Hapo kilichobaki ni kukubali yaliyotokea yameshatokea na kuanza mbele!!Mwambia Lizzy anampa pole sana!
Na Bishanga Abashaija anampa pole sana,wallah ningemfaham leo ningempa a glass of wine wakati tunaperus na kudadis scenario nzima,seriously thats what she needs ,kampani ya nguvu.Na ushauri kwa Joycellen,kama mna ndugu mwanaume wa karibu mhusishe haraka sana katika kadhia hii,ikiwezekana mpigie simu sasa hivi awa join.
 
Gari asimpe,kama kadi ina jina lake akaripoti polisi watalikamata walipeleke kituo cha polisi,msiwe mabwege bana.Na hili jamaa **** sana mwanamke ukishampa kitu imetoka hiyo sio baadae unakuja kumdai,kwani huo utamu aliokupa amekudai?

Hapo kwenye rangi nakubaliana nawe kabisa.

 
Joycellene,if you do'nt mind mdogo wako kujua ID yako nashauri ukifika nyumbani kama una access yoyote ya internet basi mfungulie thread hii aisome mwanzo hadi mwisho,inaweza kumpa relief,just try.
 
Amenipigia muda mfupi uliopita jamaa kaja kuchukua vitu vyake vyote ikiwemo gari, kadi ya gari japo alimuandikisha na kila kitu, anasem aanataka amlee mtoto wake, yeye hakupata mapenzi ya baba kwa hiyo anataka mtoto wake ayapate. anamwambia samahani kwa kukupotezea muda
Khaaaa!!! Hili jamaa ****u kweli, yaani kadi ya gari jina unaandika la kwake halfu unaenda kumdai gari tena pimbi kweli
 
mianaume mingine mijinga kabisa,mwanamke haachwi hivo,kumwacha mwanamke kuna staili yake bana.
 
she shouldn't take it as a bad lucky but rather as a challenge though it is traumatizing,most of us have grown up and become more mature b'se of what we went through in our lives ,she has to remain focus ,it is not always we get what we wished for......
 
Amenipigia muda mfupi uliopita jamaa kaja kuchukua vitu vyake vyote ikiwemo gari, kadi ya gari japo alimuandikisha na kila kitu, anasem aanataka amlee mtoto wake, yeye hakupata mapenzi ya baba kwa hiyo anataka mtoto wake ayapate. anamwambia samahani kwa kukupotezea muda

Kama wadau wengine walivosema gari ni ya mdogo wako, fateni sheria atashinda. Sema yeye anachofanya ni kujiona mshindi, na mkibaki kimya atanyanyua sana bendera, kama kamuacha life has to go on in any case. Kuweni naye karibu maana hiki kipindi anachpita ni kigumu mno hasa kwa watu waliokwisha kuanza maandalizi ya harusi, inachanganya sana ndugu.
 
Du!
Poleni sana na yaliyowasibu. I'm very sure dada yako atarecover na hiyo shock na kwa sasa she must be in denial. With time ataccept na Mungu atamsaidia kumtia nguvu na kumuongoza ktk kipindi hiki kigumu. Inauma sana esp. kwa wapenzi toka 2002!! Mungu atamjalia kumpatia mume mzuri na atasahau hayo yote.Everything happens for a reason najua huko mbele ingekuwa si ndoa tena bali ndoano.
Time helps healing. Kuwa karibu na dada yako na umfariji sana. Na wewe mzushi kumfanyia dada ya watu usanii huo sio fresh kabisa. Mungu hulipa ubaya hapa hapa duniani....iko siku utakujamjutia dada wa watu. Watch out!!
 
Mpe pole sana, mwambie asome zaburi ya 37:39-40; Muhubiri 3:1-8; Waefesi 5:25-33; wafilipi 4:13. Hata akilia haimsaidii kitu, yeye ni kuona mbali na kujua kwamba Mungu amemuepusha na hilo balaa ambalo mbeleni asingefurahi maisha yake ya ndoa. Unajua, ukiwa huna mamcho ya imani unaangalia kibinafsi,hapo hata umfanyeje hawezi kugeuza yeye kulia but end of the day atajua kwamba siyo haki yake ni ya mwenzie ambaye ana mtoto.

Cha kukushauri mpe bibria au msomee hiyo mistari niliyokupa inamsaidia na kumfanya asonge mbele siyo kurudi nyuma. Mungu amtie nguvu, ampe hekima kwenye kipindi hiki kigumu ambacho anahitaji uwepo wa Yesu Kristu wa Nazaret kwenye maisha yake amfanye kuwa kiongozi wake.

Usijicontradict kumbembeleza huyo huwezi hata wangekuja Saikolojist hawamuwezi zaidi ni kuita uwepo wa Mungu kwa kipindi hiki.
 
Asisahau zaburi ya 23 yote itamuongoza na kusau mapema sana. Acha Mungu aitwe Mungu, hakuna lisilowezekana kwake. Mara zoe kisasii ni yeye, tupo humu tuombe uzima, utaleta thread ya kutupa habari zake huyo Mfilist/shetani/ibilisi. namuonea huruma atakachokutana nacho ni zaidi ya hiki alichokifanya kwa mwenzie.
 
mdogo wangu anafunga ndoa mwezi wa tisa, tupo kwenye process ila jan amegundua mchumba wake ana mwanamke na mtoto mchanga wa miezi mmitatu wamefanana kama mapacha, alizaa naye akiwa arusha amemleta dar amempangia nyumba ila jamaa ni smart imetumika trick kali sana kumnasa, mdogo wangu amechanganyikiwa sana nimemwambia kila neno nmechoka, embu nipeni tips za kumsaidia, ndani hakupikwi wala hakuliki.
Dah! Mimi wakati mwingine huwa napata hasira kidogo just 0.0001% yaani kwa ufupi huwa nakereka ninaposoma nyuzi kama hizi. Huwa najiuliza hivi iki kizazi cha tovuti doti kom, huwa wanaishi dunia nyingine tofauti na hii tonayo ishi sisi au basi wanafanya makusudi tu au wanatafuta umaharufu kupitia mitandao...!?

Joyceline!? Nina maswali hapa kidogo ya kukuuliza.

Mosi wewe na mdogo wako mnaish dunia hii hii tunayoishi sisi wengine wote au mpo sayari ya Mars kama sio Pluto au Jupiter?

Pili kama jibu lako kuwa mpo satari yetu ya earth ambayo ndio dunia, hope mnaishi mitaani kwenye nyumba za kawaida kama si kijijini kama ilivyo desturi na si porini. Na ni matumaini kuwa mmezungukwa na ndugu, jamaa na marafiki wa karibu kama si wazazi.

Je mmekwisha wasiliana na wazazi wenu kama si wa pande zote mbili na kuwasilisha duku duku lenu wewe na mdogo wako?

Hiyo ndoa ujasema itafungwa kwa imani ipi, je itakuwa ni ndoa ya kijadi (kimila), kidini au kiserikali. Vyovyote itakavyokuwa, ni desturi na utamaduni wetu sisi Waafrika kuwashirikisha wazazi kwa asilimia zote, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na majilani.

Sasa kama wazazi wapo na wameshirikishwa kwenye mipango yote ya ndoa, tangia uchumba mpaka posa, mmeshindwa vipi kuwaona na kuwataka ushauri?

Je hamuwathamini wazee wenu?

Kama ni ndoa ya Kijadi, mnashindwa kuwaona wazee wa ukoo wenu au wa huyo mume mtarajiwa.

Kama ni ndoa ya kidini, kuna wanao husika kulingana na imani yenu.

Waoneni hao kwanza nilio wataja hapo juu, na nina matumaini makubwa kabisa mtapata msaada wenye kueleweka.
 
Huyo ni a BOY not a MEN.

The problem is not his sex but his Y-chromosome nature, at the end of Y two points are brought together. Therefore two women can be with a man under good treatment.
Kama dada kakolea na hataki kusiakia mwachani hale taratimu. Ni tamu ati mzee.
 
kwa kwel inasikitisha sana mwambie wakae waongee wajue yup ni yup kulia is solving the problem so the gd way is to solve the prob which has been occur
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom