Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
say it again
a Boy not a Man
wu is men?
wu is boy?
is ol abt age?
is abt matendo n maturity?
wu is wu then?
say it again
a Boy not a Man
Kutokana na majibu yako na kusoma btn lines nashawishika kusema muhusika ni wewe mwenyewe Joyce....
huyo mdogo wko mmbea, sumtymz inapobid mwambie ni lazima akubaliane na matokeo, aache kulilia.
Yes lazima niumie ni mdogo wangu anayenifuata naishi naye tangu yupo mdogo tangu niko msichana mpaka sasa nimeolewa niko naye ni mtu wa karibu sana.Naona jamaa bada ya kupiga hesabu za miaka minane na mimba mbili ambazo hazikuwa na mafanikio kaamua kuingia mitini, labda huyu wa Arusha haikumchukua muda mrefu kushika mimba na hatimaye kupata mtoto wake wa kwanza. Poleni sana, nasema poleni maana na wewe hili linakuathiri kwa namna moja au nyingine. Ukimuona mdogo wako anaumia na wewe lazima utakuwa unasononeka.
Halafu wewe mbona umekimbia kujibu kule kwingine??et boys hawana ubongo na fikra pevu na men wana akili kamili.
why BOYS are like this?
Mnajua kutuumiza sana
<br />hapana kaka nimeolewa tangu mwaka jana mwezi wa nane.