Msaada please about my desktop!!

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Wakuu wajuvi wa jamvi hili, salaam!
Naomba msaada wa kitaalamu. Kuna PC yangu (Desktop) inanizingua sana.Tatizo lililopo ni kwamba, ninapoiwasha na ku-chomeka Modem, huwa ina-restart yenyewe within Three minutes mara baada ya kuchomeka modem na kufungua webpage yoyote!!!! Hata hivyo, nisipochomeka modem, (say ninapoitumia kwa mambo mengine such as typing) tatizo hilo linakuwa dogo sana....naweza kuitumia hata siku mzima bila kuji-restart......ingawaje mara moja moja inatokea kuji-restart.

Je, tatizo linaweza kuwa nini?! How can i solve the problem?!

thank you in advance wakulu!!!
 
1.tazama ram memory. .ni tatizo la kawaida.badilisha na uweke upgrade one.
Hio ram memory yako inaweza imeshakuwa katika hali mbaya.

2. Ukiweza kuingia kwenye system (wndows..etc) jaribu kufanya virus check! Inawezekana pc yako imeathirika na virus!

3.ikishindika zoote hizo. Basi fanya ku re-install file system yote upya. Inawezekana file zimejichanganya au ziko corrupt au dislocated au malfunction.

Samahani kuchanganya lugha! Huwa sipendelei lkn wakati mwingine haina budi!

Ahsante.
 
Send your pc specifics here with more details au jaribu kuangalia RAM au Drivers kama zimekuwa installed vizuri. restore your system km vp :coffee:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom