Msaada Kwenye Gmail plzz!

Mchakatoh

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
302
39
Habari wanajf? mie naomba msaada jinsi ya ku upload files kwnye e mail za gmail...mwenye kujua hili msaada tafadhali!
 
Kwenye componse, unaandika email address ya mtu unayemtumia, chini yake unaandika kichwa cha habari (title of your email) baada tu ya hiyo sehemu ya kuandika title, then hapo chini kuna option ya kuattach file, click hiyo sehemu/option then utapata option ya kuchagua file unalotaka kuattach. Basi mambo mengine utayajua humo humo, its easy dude! Lol.
 
Soma baba, page yoote utaona kinachofanania na attach file. Ukijaribu kuvumbua every link mwenyewe utajikuta unajifunza mengi yaliyomo.
 
Ebana shukran sana kwa msaada wenu!..nadhani litakuwa tatzo la CP yangu(SAMSUNG C3303) cjawah kuona inaonesha sehem ya file attachment...nshatafuta wap! labda mwenye experience na hii CP anisaidie tafadhal?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom