Gmail sign in problem

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,005
Nikitaka kuingi/ku sign in Gmail ya shule bussiness inaniingiza kenye g mail yangu. Inakataa kunietea g mail ya shule. Nifayeje? hata ki sign out, ni sign in inanpeleka moja kwa moja kwenye g mail yangu

help please
 
Kabla haujasign in kuna option ya remove the account. Ipo interface ya sign in
 
asante, natumia mozila
Hiyo ndio rahisi mkuu nenda juu kabisa kulia kuna mistari mitatu mistari ya kulala ukifungua itakupeleka kwenye menu ya kushuka chini yan drop down menu then baada ya downloads kuna passowrds ukibonyeza passwords itakupeleka kwenye account zote ulizo wahi kulogin kutumia mozila then ukiiselect account itakuruhusu ku edit au delete ukidelete utaweza kulogin upya na chochote unachotaka.
 
asante sana
 
Back
Top Bottom