Msaada kwa hili la St. Johns

Persie

Senior Member
May 2, 2012
188
15
Kuna hili la BAF VS BBA kwamba st johs wanafunzi wote wa busness wanasoma BBA mwaka wa kwanza na wapili semister ya kwanza then semister ya pili ndo wale wa BAF wanaanza kusomea BAF yao ndo kila chuo kipo hivi au st johns msaada kwa hilo sielewi utaratibu
 
Back
Top Bottom