Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,473
- 2,423
Habari wakuu wa tech.
Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua kubadilisha HDD yenye windows na kuweka nyingine ambayo huwa natumia kwenye laptop.
Sawa game lina play ila wachezaji wapo timu zao za zamani kama vile Lukaku yupo Chelsea wakati mwanzoni alikuwa inter Milan.
Hii imetokea baada ya kubadilisha hard disk drive iliyobeba windows.
NB: Setup ya game na ya patch sina kwa sasa, vyote viko installed kwenye HDD nyingine.
Msaada wakuu.