Msaada ENABLE CLIPBOARD PERMISSION kwenye Android 11

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu.
Nadhani hili suala nilipaswa kuliweka Kule jukwaa la Tech & Gadgets ila mara zote nikiweka threads Kule napata mwitikio mdogo sana. Kuna kitu nafanya na kinahitaji kunakili QR Code kutoka app Moja na kuiweka (paste) kwenye app nyingine ili hizi app mbili ziweze kusomana. Tatizo nikienda app ya pili ili ku-paste Ile text niliyoipata kwenye QR inasema GO TO YOUR DEVICE AND SET CLIPBOARD PERMISSION. Kwenye permissions za Android hakuna clipboard permission. Au ni akili yangu tu imechoka Leo? Msaada please!
 
Back
Top Bottom