Karanga Mwitu
Member
- Nov 2, 2018
- 43
- 70
Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer.
Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa haikubali inasema " Window unable to connect". Nimejaribu kutumia Tecno, imezingua ila nimetumia simu ya jamaa yangu Aina ya Huawei imeconnect vizuri.
Sasa nikawaza labda nifomati simu, nikafomati haijakubali.
Changamoto ndo hiyo wadau naomba msaada, upande wa kompyuta yangu iko poa tu changamoto ni simu. Kwa anayejua namna kutatua Hilo tatizo.
Karibuni wadau.