Msaada kuhusu Matokeo ya darasa la Saba

Mahunda Jr

Member
Apr 5, 2020
30
25
Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba.

Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa
 
Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba.

Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa
Kuanzia tarehe 10dec huko
 
Hivi vitu kama hiv lazima uanzishe uzi? Daaaah labda tunatofautiana uelewa kimbia chap kwenye website ya necta unapata majibu yote
 
Back
Top Bottom