Msimpotoshe, kweli kazingu dogo ila hajui anachokifanya. Tumueleweshe tu kwamba BA aachane nayo km na uwezo wa kusoma afya(uwezo wa kifedha na kitaaluma)
Unamshaur mtu kitu kulingana na anachopenda ss yy kasema hatak kazi ya utumwa ww hujui kazi za afya zilivo ss inabid umshaur kitu ili hata akipata kazi afurahie kazi yake
 
Kati ya bussness administration na clinical medicine ipi kozi nzuri zaid yaani upande wa kujiajili na kuajiliwa,heshima na mishahara yake
Karibu Ndolage Institute of Health Sciences upate kozi ya clinical medicine. PCB ukiwa na DDD + D moja somo jingine unajipatia nafasi asubuhi na mapema.
 
Hivi kweli zama hizi mtu anataka kusoma business administration ili iweje?
Nani akuajiri?
Hivi utajiajiri vipi kwa kutumia degree au diploma ya business administration?
Hivi unahitaji kuwa na diploma au degree ya business adminitration ili uweze kujiajiri?


Kuliko kupoteza pesa, muda, nguvu na akili ya kwenda kusoma business administration ni bora kwenda moja kwa moja mtaani kujiajiri (hata kama ni mmachinga) sasa ili kutumia hizo pesa, muda, akili na nguvu zako.
 
Jamani mimi nmemaliza form four nataka kwenda Jeshini, nimeshauriwa nikachukue kozi kwanza.

Je, nichukue kozi ipi kati ya hizi, Business administration na human resources manager, au marketing and Public relations?
 
Soma nursing then apply JKT usisahau kuwa na connection la sivyo ndoto itayeyuka usidharau wana mtaani ukitegemea jeshini sio kila mtu ana nafasi ya kwenda huko
 
Kasome mdogo wangu ukimaliza shule nenda sasa kafanye kazi kazini.
Hata kule Kwa wazee wa Kazi kazini kuna wasomi pia
 
Back
Top Bottom