Chale david

Member
Jun 12, 2023
51
28
Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
 
Eti nlikuwa nauliza kati ya kozi iz ipi yenye ajira kati ya humans resource management/ bussness administration/ procurement and logistics mananger and marketing and Public relations.

Pia ufaulu wake kutoka na iko chuo
 
Kwa sciences neda pharmacy
Lakini upande wa business neda coz yoyote
Kwa upande wa bussness kozi gan nzuri kati ya iz bussness administration/ human resources management/procurement and logistics manager/marketing and Public relations
 
Katika kozi za biashara yaan kati ya accountancy / bussness administration/ human resource management/ procurement and logistics mananger/ marketing and Public relations ipi bora zaid yaani kuanzia ajila ata elimu yake ipi the best na chuo gan bora zaidi
 
Et nlikuwa nauliza kati ya kozi iz ipi yenye ajira kati ya humans resource management/bussness administration/procurement and logistics mananger /and marketing and Public relations. Pia ufaulu wake kutoka na iko chuo
kila kozi ina ajira, shida ni namna ya kuipata hiyo ajira. N hizo kozi zote zina watu wengi sana wanaosoma na akaribu vyuo vyote nchini wanatoa kuanzia ngazi ya certificate hadi masters. Nenda kasome usogeze miaka then ukimaliza utajua cha kufanya, Mambo ya ajira ni mipango ya MUNGU.
 
Back
Top Bottom