nilikuwa natafuta msaada wa itune , nilikuwa na itunes , mara siku moja ikawa imefuta miziki yote kwene library, ikawa haifanyi kazi tena , nika down load mpya , lakini kuinstall, ikakataa ina sema old itune can not be un installed , kwa sasa siwezi tena kutumia tena i tunes , wajuzi wa mambo, naomba ushauri