Msaada>>> Jinsi ya ku-sign application

lowamond

Member
Nov 2, 2011
24
2
Nimeinstall application inaitwa signsis kwenye simu, kuna sehemu inahitaji kujaza/attach key, cert na sis nikitaka ku sign application ya helloox sa na nimejaribu kwa njia ya PC kwa kutumia PCsignSis na yenyewe inaleta habari hz hizo sa nimeshindwa niweke nini...au ka kutakuwa na njia nyingine ya kusign naomba msaada
 
ingia kwenye hii web,OPDA shoujizu - Download symbian certificate ,free apps for symbian s60 v3,symbian s60 v5,symbian 3 utatengeneza account ,log in with ur name na password, chagua sehem ya kuapply,utaweka serial namba ya simu sikumbuki na nini,then utasubir nafkir ni siku 3,watakutengenezea certificate and key,ukifungua utaona link ya kudownload,utazdownload kwenye simu,utafungua signing software, then settings,utalocate sehem ilipo cirtificate n key,ukimaliza utakuwa ok, kusign any application haza zinazosema application error.
 
Shoujizu long tu wamesitisha kutoa certificate na key kama inayo itunze wanatoa kwa memba watakao donate tu, ila watu wanatengeneza kinyemela katika forums mbalimbali mfano symbianize nenda
 
Back
Top Bottom