Msaada jinsi ya ku Refund Pesa zirudi kwenye account yangu

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari wana JamiiForums,

Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha.

Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play kupitia google play refund ili niweze kurudishiwa pesa zangu lakini bado sijapata mrejesho maana wanadai pesa inaweza kurudishwa ukitoa sabau mapema urudishiwe.

Naomba msaada njia nyingine ya ku REFUND pesa ili iweze kunirudia.
 
Maelezo yako hayako clear sana. Inaonekana hata ulivyo waandikua play store hawajaelewa tatizo lako.
In short google play wamekata pesa kitoka account yangu ya airtel money wakidai kuna program niliudownload playstore ambayo ilikuwa inahitaji malipo ili iweze kufanya kazi
Sasa nataka nirudishiwe malipo yaliyofanyika bila idhini yangu
 
YAliwahi nikuta..niliumia sana ..refund inabid ifanyike ndan ya masaa 24 kama sikosei..zaidi ya hapo hawana msaada! Pole...ukiacha hela tena next month wanakata..la kufanya idisiable
 
hii ndiyo sababu kwanini kwenye digital wallets natumia virtual debit card

nikimaliza lipa, naua card natengeneza nyingine chap, kukwepa ujinga ujinga kama huu
 
WAsiliana nao...wanaweza irreverse...pole

Screenshot_20230413-060258_Chrome.jpg
 
Habari wana JamiiForums,

Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha.

Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play kupitia google play refund ili niweze kurudishiwa pesa zangu lakini bado sijapata mrejesho maana wanadai pesa inaweza kurudishwa ukitoa sabau mapema urudishiwe.

Naomba msaada njia nyingine ya ku REFUND pesa ili iweze kunirudia.
Jitahidi kuwaandikia kila baada ya masaa mawili Ingekuwa Vodacom ungepata mapema lakini Airtel kama umetumia Card ya mtandao (virtual card) futa kwanza hiyo Card kisha endelea kudai na huwa ni vema zaidi ukiwaandikia kwenye Email yao maana hiyo hufika kwa wahusika ambao wako serious zaidi.

Ila Customer care wanaralua tu bila mawazo kisha utaipata baada ya wiki ukituma Email unaweza usimalize siku yote kwa yote kama umetumia malipo ya kawaida kama Airtel money basi watafute kila baada ya masaa mawili upate uhakika wa namba ya tatizo lako kushughulikiwa.
Vinginevyo pesa umeikosa....

Ziada ya maarifa fanya kuingia Playstore Click kwenye picha ya Account yako kuona email yako kisha Payment and Subscriptions
Kisha Subscriptions
Angalia Apps ulizo subscriptions ukiona huzielewi elewi zingine futilia mbali kuna apps zikifa zinaibiwa(Hacked) kisha zinavuta hela jambo lililowavuruga watu wengi na wanalikalia kimya..
Utaona tu ujumbe umefanikiwa kulipia **** playstore wanaanza na hela ndogo kisha baadae Booom!

Rakims
 
Hapo haustahili refund mkuu,umejiunga na huduma,umepewa huduma,unaweza zuia tu mwez ujao yasitokee hayo kwa ku cancel hyo service,au ua hyo card tengeneza mpya

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
YAliwahi nikuta..niliumia sana ..refund inabid ifanyike ndan ya masaa 24 kama sikosei..zaidi ya hapo hawana msaada! Pole...ukiacha hela tena next month wanakata..la kufanya idisiable
Inabidi uwe ni mwenye kumbukumbu... Mfano mimi niliwahi jiunga trial version ya LinkedIn premium nikasahau mwezi ulipoisha wakapita na almost 90$ kwenye akaunti yangu. Inabidi ukumbuke kabla ya usitishe
 
Hapo haustahili refund mkuu,umejiunga na huduma,umepewa huduma,unaweza zuia tu mwez ujao yasitokee hayo kwa ku cancel hyo service,au ua hyo card tengeneza mpya

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi siku subscribe ili nipate hiyo huduma nashangaa kuwa connected na huduma ambayo sina mpango nayo maana ningeinunua nisingeomba msaada.Labda kama app husika ilifanya subscription hapo sawa
 
Yes huend ww huku subscribe kwa kujua au kutokujua,fact ni kwamba tayari uko kweny subscription, Hapo ww chakufanya ua hiyo card,lakin refund hutopata,alafu airtel hawausiki na refund hapo,,ww kubali tu hyo imeenda mku,chakufanya ndo kama nilivyo kwambia juu pale.

Back
Top Bottom