Msaada: Jinsi ya ku reset my application NACTE

MKINDE

Member
Aug 16, 2012
43
45
Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kureset my application kwenye akaunti yangu ya NACTE na je kuna malipo yoyote yanatakiwa kufanyika? Vile vile ningependa kujua mwisho wa kureapply kwa sisi tuliokosa vyuo kupitia NACTE ni lini? Akaunti yangu hadi sasa imeandika CHECKING IN PROGRESS ila za wengine naambiwa zimeandika SELECTED. Naombeni msaada tafadhali ndugu zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom