Msaada jinsi ya kupata namba ya NIDA

Jul 12, 2015
84
231
Habari ndugu zangu naomba mwenye kujua jinsi ya kupata namba za nida nazipata wapi na nini kinahitajika ili kukamilisha mchakato huu

Naombeni msaada kwa wenye kujua
 
Habari ndugu zangu naomba mwenye kujua jinsi ya kupata namba za nida nazipata wapi na nini kinahitajika ili kukamilisha mchakato huu

Naombeni msaada kwa wenye kujua
Nenda kwenye ofisi za NIDA za wilaya uliopo utapata maelekezo yote huku utapata majibu ya shombo maana watu washavurugwa na Idd ya mafungu. Tanga na Kagera, Uganda, Kenya na Rwanda wamesherekea leo. Sasa sijui kama kesho Bakwata watasema Idd iliisha jana(yaani leo) au la.
 
Sijibu kisiasa mkuu, kupata NIDA NI pesa,pesa,pesa,pesa ...it end up na pesa
 
Back
Top Bottom