500k-700k,ulidhan ukisoma masters ndo umewin au?
Anazidiwa na mlinzi wa barick? Khaa kweli tz hawathamini elimu.
shida yako ni kutaka watu wawadhalilishe walimu humu ndani tuu huna lolote! hiyo secular uliyoisoma si inaonyesha pia mwl mwenye elimu ya masters anapewa kiasi gani! uwe unafikiria vitu vya kupost
You are are so right man..hakuna mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia on education thingserikali haina mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini ndugu. Kwa wale walioajiriwa tayari wanapoenda kusoma masters na kurudi kwenye kituo cha kazi wanaongezewa 'bar' mbili ikiwa na maana kwamba kama ulikuwa TGTS D1 sasa utavushwa na kwenda TGTS D3,n.k. Karibu kwenye fani.
we mujumba, u nid to thnk b4 u leap, so kwakuwa unalpwa kdogo ndo unaona kudhalilishwa?? Mfcha uzi hazai...speak and get help, kip quiet and die quietly.
serikali haina mshahara wa
masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa
kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa
elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa
elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini
ndugu. Kwa wale walioajiriwa tayari wanapoenda kusoma masters na kurudi
kwenye kituo cha kazi wanaongezewa 'bar' mbili ikiwa na maana kwamba
kama ulikuwa TGTS D1 sasa utavushwa na kwenda TGTS D3,n.k. Karibu kwenye
fani.
M2 wangu masters unakuwa TGTS E 1 ambapo ni kama laki 6 na ki2 makato unakula 5 au 4
For sure.
Excellent. Siongezi kitu hapaserikali haina mshahara wa masters wala phd kwa kuanzia kwenye sekta ya elimu ila utapewa kipaumbele kwenye nafasi za kuteuliwa kama mkuu wa chuo,afisa elimu,afisa taaluma n.k ambapo mshahara wako utakuwa tofauti na maafisa elimu wafundishaji tena ni baada ya kupata uzoefu wa kutosha kazini ndugu. Kwa wale walioajiriwa tayari wanapoenda kusoma masters na kurudi kwenye kituo cha kazi wanaongezewa 'bar' mbili ikiwa na maana kwamba kama ulikuwa TGTS D1 sasa utavushwa na kwenda TGTS D3,n.k. Karibu kwenye fani.
Labda kama ni nchi nyingine... Tanzania mambo ni kama alivyoeleza Mdau hapo juuM2 wangu masters unakuwa TGTS E 1 ambapo ni kama laki 6 na ki2 makato unakula 5 au 4
For sure.
500k-700k,ulidhan ukisoma masters ndo umewin au?