Mr.mzumbe
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,014
- 957
Anazidiwa na mlinzi wa barick? Khaa kweli tz hawathamini elimu.
kipi bora,kuwa mlinzi salary linasoma au kuwa ticha salali mwendo wa lori?
Anazidiwa na mlinzi wa barick? Khaa kweli tz hawathamini elimu.
Poa kaka tupo pamoja.Excellent. Siongezi kitu hapa
Ndugu believe me or not kwa kuanzia hakuna kitu kama hicho,labda kwa aliye kazini akajiendeleza. TGTS E1 ni 618,000 ukishakatwa unakula 490,000.Karibu sana kwenye fani.
Acha ushamba wewe,mtu kauliza aelimishwe unamponda,kama ulishindwa shule ni juu yako!500k-700k,ulidhan ukisoma masters ndo umewin au?