Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,779
- 14,311
Habari wandugu!
Nina plan ya kuhamia kati ya Kenya au Rwanda hivi karibuni hivyo naomba kufahamu kutoka kwa wenyeji walioishi moja kati ya nchi hizo kwa maana ya hali za kimaisha zikoje? Wageni wanachukuliwaje na jamii ya wenyeji kwa pande zote Kenya na Rwanda, gharama za maisha kwa maana ya kupanga vyumba vya kawaida karibu na miji mikubwa? Bei ya vyakula? Kuoa na kuanzisha familia n.k
Pia mazingira rafiki ya fursa za kibiashara kwa mtaji wa milioni 10 kwa nchi zote, na mengineyo lukuki mazuri na mabaya yanayozihusu nchi hizo hapo mbili za majirani zetu.
Karibuni kwa michango yenu wataalamu.
Zingatia; kejeli na matusi at your own risk. Keep it classy and informative comments Bibi fisi and mzee wa busara at works.