Msaada ipi nchi murua kuishi kati ya Rwanda au Kenya?

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,302
Habari wandugu!

Nina plan ya kuhamia kati ya Kenya au Rwanda hivi karibuni hivyo naomba kufahamu kutoka kwa wenyeji walioishi moja kati ya nchi hizo kwa maana ya hali za kimaisha zikoje? Wageni wanachukuliwaje na jamii ya wenyeji kwa pande zote Kenya na Rwanda, gharama za maisha kwa maana ya kupanga vyumba vya kawaida karibu na miji mikubwa? Bei ya vyakula? Kuoa na kuanzisha familia n.k

Pia mazingira rafiki ya fursa za kibiashara kwa mtaji wa milioni 10 kwa nchi zote, na mengineyo lukuki mazuri na mabaya yanayozihusu nchi hizo hapo mbili za majirani zetu.

Karibuni kwa michango yenu wataalamu.

Zingatia; kejeli na matusi at your own risk. Keep it classy and informative comments Bibi fisi and mzee wa busara at works.
 
rwanda, nice, clean, business friendly (utapata leseni ya kazi kwa masaa 24), oppotunities exists but know what to pick, customers are not that many. zero beaurocrasy...beautiful women, and they all look kinda the same, security in the capital is good, you wont be harassed by police in the middle of the night..

Kenya... typical mid level country, depends on where you will stay, some places look and feel like highclass europe areas, and some place are unspeakable, getting a business permit quickly depends in the type of bussiness, opportunity exists if you have the capital to invest and are creative enough because competition is cut throat, (I mean your competionion might place a bill board pointing your direction and tell customers,'dont buy those fake ones'. but if you succeed you will suceed big time, if you fail, well you quickly move to the lower class in a lower class area where everything is cheap. also in kenya, uncle Kamau likes his taxes, and he doesnt spare, everything is taxed, your bussiness, your income,whatever comodity you buy,.... but inflation has managed to stay at single digits btn 5-7%, bank inerest rates are now at 15% including morgadge............also traffic is a nightmare if you dont know how to time it, people burglarproof their houses like no ones bussiness... also people especially in urban centers are open minded so foreigners are always welcomed, also because of tourism, kenyan hospitalism is always to welcome new people with open arms,... also in kenya, everything is negotiable, so dont be afraid or emberaced to negotiate something to a lower price, bussiness of makng money and politics rule in kenya night life and entertainment is from monday to sunday, from strip clubs, regular clubs, pubs, bars....
 
kenya wakabila sana na huwa hawampendi mgeni kwa mfano nairobi wanamheshimu muhindi tu na sio mgeni mwingine utanyanyasika sana tunapata shida sana sisi watanzania tunaishi maisha ambayo hayana uhuru kabisa ukiwa kenya sasa ikitokea umesahau kutembea na yellow vaccination card hapo sero inakuhusu au utoe rushwa ndefu
 
most def Kenya, especially now, there is this new feel or wave and if you can you should take advantage. People have more money {considerably} they are open to new stuff and freedom in Kenya is priceless. Which is good for business. I would choose no place over Kenya to live, it is an interesting country, you will feel like you are meeting people from all over the world. Different experiences and views will improve your perspective.
 
kenya wakabila sana na huwa hawampendi mgeni kwa mfano nairobi wanamheshimu muhindi tu na sio mgeni mwingine utanyanyasika sana tunapata shida sana sisi watanzania tunaishi maisha ambayo hayana uhuru kabisa ukiwa kenya sasa ikitokea umesahau kutembea na yellow vaccination card hapo sero inakuhusu au utoe rushwa ndefu

Huna aibu, mbona unapotosha bila kupepesa macho, lini Kenya wakabagua wageni. Watanzania wamejaa Kenya kila maeneo, labda utakua mzembe tu au mojwawapo wa omba omba kutoka Tanzania ambao wamejaa barabarani Kenya. Hao ndio labda wanapata maisha Kenya kuwa magumu maana sisi hatulei wavivu.

Kenya ukija na bidii yako, huwa hatuna muda na asili yako. Wamejaa watu kutokea Sudan hata Wasomali wanaotupiga mabomu ya alshabaab lakini bado tumewaruhusu kupiga biashara zao na mishe. Tahadhari, usije Kenya kama unajijua wewe mzembe maana kila kitu kinafanyika kwa kasi, huwa hatuna muda wa kupoteza, ushindani upo wa hali ya juu. Mimi nikija kufanya kazi Bongo kama natokea Kenya, huwa nahisi kama nipo kwenye likizo vile maana Bongo mambo taratibu na hamna ushindani.

Watanzania wengi wanaoishi na kupiga mishe Kenya wanalielewa hili na wamenufaika pakubwa. Nenda utulie kwa masaa kadhaa pale mpaka wa Kenya na Tanzania wa Namanga uone magari yanayopita pale, yaani ya kifahali aina za harriers, prados n.k. Kuna Watanzania wenye majengo yao Nairobi, haswa Watanzania wa kutokea Arusha na Kilimanjaro wamekita mizizi maana ukiwa na jengo lako Nairobi unakua umetoka aisei maana kodi ni kama dhahabu.

Pia Rwanda nimesikia sifa zao nzuri, sijafanya biashara pale lakini waliowahi kwenda pale huwa wanapasifia sana. Japo nauliza tu, nini kinafanya mleta mada uondoke Bongo. Maana nimefanya biashara Tanzania na kwa kweli sioni sababu za Mbongo kupatoka maana fursa nyingi zipo, halafu kikubwa Tanzania ni kwamba hamna ushindani sana kivile. Yaani kupata dili haswa ya tenda huwa rahisi sana.
 
kenya wakabila sana na huwa hawampendi mgeni kwa mfano nairobi wanamheshimu muhindi tu na sio mgeni mwingine utanyanyasika sana tunapata shida sana sisi watanzania tunaishi maisha ambayo hayana uhuru kabisa ukiwa kenya sasa ikitokea umesahau kutembea na yellow vaccination card hapo sero inakuhusu au utoe rushwa ndefu
wrong info i know a tz guy in westlands who is very successful in his clothes business sisi humwita mtz he has no prblm infact when we chat he has no near plans of relocating back home he feels at home here.another one that i know of is a street beggar frm sukumaland he told me that he earns so much and is happy to have came here he even surprised me that he earns about Kshs 3000 a day.
 
Kwanza unaenda kikazi au umeamua tu kubadili mazingira na hiyo million kumi umeshindwa kuimultiply hapa Tanzania me sioni sababu yoyote ya kwenda Rwanda au Kenya to start from the scratch yaani Tanzania hii fursa zilizopo mpaka unaona aibu.

The country is typically virgin full of any type of mere opportunities na hiyo million 10 ungeiweka somewhere i know huko Kenya na Rwanda ungeenda kufungua depots au agencies.
 
kenya wakabila sana na huwa hawampendi mgeni kwa mfano nairobi wanamheshimu muhindi tu na sio mgeni mwingine utanyanyasika sana tunapata shida sana sisi watanzania tunaishi maisha ambayo hayana uhuru kabisa ukiwa kenya sasa ikitokea umesahau kutembea na yellow vaccination card hapo sero inakuhusu au utoe rushwa ndefu

CodezillaMember
#1
Sep 14, 2011

Joined: Sep 11, 2011
Messages: 54

Likes Received: 0

Trophy Points: 0
Hi Guys,
I am Kenyan born of a Tanzanian mother,i have lived and worked in Tanzania for over three years and i have found out that Tanzanians are friendly in other areas but at work where they have a very bad attitude towards we Kenyans,which comes as a surprise coz back in Kenya Tanzanians are adored.These brings up the question why is their so much hating by Tanzanians?...in fact if you ask any Kenyan of his prefered neighbour country the answer will be Rwanda..such an irony...as a Kenyan i can work in Rwanda with no work permit and i can enter the country using my Identity Card this is the spirit of the East Africa Community which Tanzanians should learn.
 
rwanda, nice, clean, business friendly (utapata leseni ya kazi kwa masaa 24), oppotunities exists but know what to pick, customers are not that many. zero beaurocrasy...beautiful women, and they all look kinda the same, security in the capital is good, you wont be harassed by police in the middle of the night..

Kenya... typical mid level country, depends on where you will stay, some places look and feel like highclass europe areas, and some place are unspeakable, getting a business permit quickly depends in the type of bussiness, opportunity exists if you have the capital to invest and are creative enough because competition is cut throat, (I mean your competionion might place a bill board pointing your direction and tell customers,'dont buy those fake ones'. but if you succeed you will suceed big time, if you fail, well you quickly move to the lower class in a lower class area where everything is cheap. also in kenya, uncle Kamau likes his taxes, and he doesnt spare, everything is taxed, your bussiness, your income,whatever comodity you buy,.... but inflation has managed to stay at single digits btn 5-7%, bank inerest rates are now at 15% including morgadge............also traffic is a nightmare if you dont know how to time it, people burglarproof their houses like no ones bussiness... also people especially in urban centers are open minded so foreigners are always welcomed, also because of tourism, kenyan hospitalism is always to welcome new people with open arms,... also in kenya, everything is negotiable, so dont be afraid or emberaced to negotiate something to a lower price, bussiness of makng money and politics rule in kenya night life and entertainment is from monday to sunday, from strip clubs, regular clubs, pubs, bars....
Ungeweka kwa KISWAHILI Mkuu na Darasa la SabaTUELEWE
 
Nenda kaishi Kenya kwa wajanja ili ujifunze mambo mengi
Ila Kenya wako kimagumashi magumashi zaidi, pickpocket utafikiri ndio jamhuri yao, girls wako aggressive daily wanabonda waume zao, kila mtu mjanja hakuna fala, ila so far huwa naipenda Kenya ever since nilipokuwa mtoto. The reason ni kwamba nilihishi Mwanza ambapo tulikuwa tunazipata baadhi ya redio za Kenya live that's why nafeel connected na Kenya kiaina. But Rwanda naona inataka kuspoil safari yangu ya Kenya.

Kenya yetu hakuna matata.
 
Ila Kenya wako kimagumashi magumashi zaidi, pickpocket utafikiri ndio jamhuri yao...terror threat nayo ni factor, ila so far huwa naipenda Kenya ever since nilipokuwa mtoto. The reason ni kwamba nilihishi Mwanza ambapo tulikuwa tunazipata baadhi ya redio za Kenya live that's why nafeel connected na Kenya kiaina. But Rwanda naona inataka kuspoil safari yangu ya Kenya.

Kenya yetu hakuna matata.

Wewe ishi Dar ndio utakoma, kwanza kwenye hayo madaladala mnabanana balaa halafu ndio pickpocketers hawakawii. Kuna wizi niliona Dar ambao sijauona kwenye mji wowote nje ya Tanzania. Yaani unapotembea na laptop yako kwenye mfuko/mkoba, inabidi uwe makini, kuna wezi wanakushtukiza halafu wao hutumia gari, mwizi anatokea dirishani ghafla na kunyakua laptop yako, kabla uelewe nini kinaendelea, gari linatoweka mbali kuleee...... ndio zenu nyie.

Vibaka balaa, kila mahali. Kwanza siku hizi Magu kabana matumizi, hivyo hela kitaa pamekua pagumu, wezi wanaongezeka. Watu wanakabwa hadi mchana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom