Msaada ipi nchi murua kuishi kati ya Rwanda au Kenya?

Wewe ishi Dar ndio utakoma, kwanza kwenye hayo madaladala mnabanana balaa halafu ndio pickpocketers hawakawii. Kuna wizi niliona Dar ambao sijauona kwenye mji wowote nje ya Tanzania. Yaani unapotembea na laptop yako kwenye mfuko/mkoba, inabidi uwe makini, kuna wezi wanakushtukiza halafu wao hutumia gari, mwizi anatokea dirishani ghafla na kunyakua laptop yako, kabla uelewe nini kinaendelea, gari linatoweka mbali kuleee...... ndio zenu nyie.

Vibaka balaa, kila mahali. Kwanza siku hizi Magu kabana matumizi, hivyo hela kitaa pamekua pagumu, wezi wanaongezeka. Watu wanakabwa hadi mchana.
Kwa sasa niko Dar..tell you what wizi wa kukaba umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu hiyohiyo uncle magu kabana kila kona na kila mtu anaipata hela kwa tabu kwa hiyo watu wameanzisha vikundi vya ulinzi sungusungu kwa ajili ya kudhibiti wakabaji...hapo awali manzese ndani huko ukienda hata mchana unakabwa watu wanasaula bling zote then wanakuachia manyoya ila nilienda majuzi huko mpaka nikashangaa hakuna hata mtu au kikundi kinachonimendea kunikaba.

Nilipomuuliza mwenyeji wangu akasema yaani ingekuwa zamani kwa hayo maeneo uliyopita mpaka kufika hapa hiyo simu yako na hili jeans vngekuwa vishawekwa sokoni somewhere..duh! Akasema hali ilizidi kuwa mbaaya tukachachamaa raia tumewapiga kibiriti kila tukiwatia nguvuni. Hivyo kuna peace kubwa saana kwa sasa. Hiyo inaashiria hali imekuwa shwari kwa kadhia ya vibaka kwa maeneo mengi ya Dar.

Vipi sehemu gani ni cheap kuishi Nairobi bei ya kupanga chumba ikoje? Ninatakiwa kuwa na work permit kufanya kazi Kenya? Pia ninaaswa kulipa is ajili ya visa au ni free for east africans?
 
Hongera kama mumewakomesha, ila duh bado nina kumbukumbu za hilo jiji la Dar. Kwanza kipindi hicho nilikua nakunywa pombe balaa, wenyeji wangu tulikua tunakatiza uswazi, nilijionea vituko.

Anyway Nairobi inategemea unakuja kivipi, una utalaam upi, unataka kuwekeza kivipi, mtaji wako uko vipi, lazima ukae na kuandaa ripoti kabisa.
Halafu hamna cha work permit kama wewe mzawa wa nchi yoyote ya EAC, hayo mambo ya work permit yapo Bongo tu habari zaidi hapa Do I still need a work permit to work in another EAC country?
 
Back
Top Bottom