Kenya mnanufaika na conflict ya East Congo badilikenii mtaumia as Time goes on!

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,663
16,023
Natoa angalizo.. viongozi wa Kenya na other parasites mnajua kinachoendelea Eastern DRC we want peace and stability. Tunajua biashara yeyote inayofanyika kati ya E.drc , rwanda kwa sasa most of it inapita Nairobi we know it.

Sisi hatuna tabu na biashara miongoni mwetu but we're care for truthful and cooperation. Watch out
 
andika kiswahili babu!
 
Unaonekana una kitu kizuri, hebu nenda kunywa maji bilauri moja. Uvute pumzi. Pasipo na haraka yoyote njoo na pitia tena uzi wako.
 
Back
Top Bottom