nadhani wewe hufahamu kozi unayosoma, nadhani wewe unasoma architecture. usijali mwone mwalimu wako Mosha mwambie akushirikishe kwenye michoro yake aliyopewa na NSSF nadhani itakuwa field nzuri kwani ukirudi utafanya vema kwenye somo la studioJaman wana jamii wenzangu,naomben mnisaidie kutafuta nafasi ya field,nasoma mwaka wa kwanza diploma ya artechture.plz msaada wenu