Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

MR NLH

Member
Jan 11, 2023
24
26
Habari za leo wakuu.

Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi.

Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker.
Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine.

Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's mimi nitashukuru sana.

Ninapatikana kwenye namba 0717311689.
 
Habari za leo wakuu.

Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi.

Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker.
Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine.

Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's mimi nitashukuru sana.

Ninapatikana kwenye namba 0717311689.
Umewahi kufanya wap.kwa hizo NGOs utupe connection na ss
 
IMG_20230503_141010_410.jpg
 
Sifa zote hizi halafu mshahara elf 4 kwa masaa 12 kwa siku 40 hizi si ndo kampuni zinazowakopa walinzi mshahara wa mwezi huu unapokea mwezi ujao Tena unapewa nusu ili usikimbie kazi kwa kuogopa kuacha deni.
Sio. Kwa kampuni hii
IMG_20230429_215956_478.jpg

Hiyo vipi Kwa kibongo bongo haitoshi...?
 
SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe ! 0717700921
 
Back
Top Bottom