Nijikite kwenye kipengele gani cha Electrical Engineering ambacho kitanipa maisha mtaani?

Mr nobby

New Member
Aug 25, 2023
1
1
Wakuu habari zenuu,

Mimi hapa ndgu yenu Sasa naingia chuo mwaka wa tatu nasoma diploma ya electrical engineering, naombeni mnisaidie nijikite kweny kipengere gan kizuri zaidi kitacho nifaidisha mtaan baada ya kuhitimu chuo.

Maan electrical engineering Ni Pana Sana, wajuzi wa taaluma hii naombeni mnisaidie
 
Kwa nature ya nchi yetu I would advice to not lean on one side early, doing so would narrow your mindset on exploring other opportunities within EE.

Otherwise if you already have passion on certain industry that involve electrical engineering sawa: kuna industries kama;-

1. Industrial automation (PLC, HMI, SCADA, Instrumentation, control panels)
2. Building wiring and installation design
3. Renewable energy (solar, wind, etc)
4. Industrial wiring and installation design (machines, control circuits, protection)

Other:
5. PCB designing (Power electronics)
6. Embedded systems
 
kipengere gan kizuri zaidi kitacho nifaidisha mtaani baada ya kuhitimu chuo.
kama ni mtaani kweli ulivyomaanisha, basi repair/servicing ya vifaa vya umeme na wiring(ya majumbani)

kama ni mtaani=ajirani, basi ni umeme wa viwandani

japo wewe kuwa vizuri wala haitegemei huko chuo, chuo unapewa basics tu
 
Wakuu habari zenuu,

Mimi hapa ndgu yenu Sasa naingia chuo mwaka wa tatu nasoma diploma ya electrical engineering, naombeni mnisaidie nijikite kweny kipengere gan kizuri zaidi kitacho nifaidisha mtaan baada ya kuhitimu chuo.

Maan electrical engineering Ni Pana Sana, wajuzi wa taaluma hii naombeni mnisaidie
Uko chuo gani mkuu
 
Back
Top Bottom