msaada Field

EvJ

Senior Member
May 3, 2011
194
25
Jaman wana jamii wenzangu,naomben mnisaidie kutafuta nafasi ya field,nasoma mwaka wa kwanza diploma ya artechture.plz m
 
Jaman wana jamii wenzangu,naomben mnisaidie kutafuta nafasi ya field,nasoma mwaka wa kwanza diploma ya artechture.plz msaada wenu
nadhani wewe hufahamu kozi unayosoma, nadhani wewe unasoma architecture. usijali mwone mwalimu wako Mosha mwambie akushirikishe kwenye michoro yake aliyopewa na NSSF nadhani itakuwa field nzuri kwani ukirudi utafanya vema kwenye somo la studio
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom