Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka

Radick Gabrick

New Member
Sep 15, 2023
3
2
Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka. Mfano Mahindi kupitia Semi
Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na inakuwaje.

Msaada Please
 
Nimaelewano
Mfano hku kwetu HANDENI to Dar tandamu m 1.3 wakat single lake 7 Hadi 8
 
Back
Top Bottom