Natafuta fundi wa Pajero Min, Arusha

gnd

New Member
Feb 15, 2015
4
2
Hello wana JF,

Naomba mtu anayefahamu fundi wa Mitsubishi anisaidie kwa Arusha.
Gari inachelewa sana kubadili gear na inatembea kwa rpm kubwa sana kwa speed ndogo na kuna muda inakosa nguvu kabisa.

Asanteni sana.
 
Hivyo vigari kutembea Kwa rpm kubwa ni kawaida hasa isiyo na turbo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom