Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,642
- 18,644
Inawezekana sana ila si mumewe amekamatwa kwa dili ya kuuza madawa ya kulevya na yuko rumande.
Milion 8?

Dem kawa mjanja siku hizi miaka kadhaa iliyopita alikuwa mshamba mshamba pale njombe maeneo ya matalawe ila ni kitu fulani .5 cha ukweli! baba yake nasikia ni mwingereza aliyekuja na kampuni ya Balfour Beaty kujenga barabara ya makambako-songea, alimpa mimba m'bongo halafu akasepa kwa hiyo hawajuani na baba yake.