Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
Dem kawa mjanja siku hizi miaka kadhaa iliyopita alikuwa mshamba mshamba pale njombe maeneo ya matalawe ila ni kitu fulani .5 cha ukweli! baba yake nasikia ni mwingereza aliyekuja na kampuni ya Balfour Beaty kujenga barabara ya makambako-songea, alimpa mimba m'bongo halafu akasepa kwa hiyo hawajuani na baba yake.

Who is jack patrick? cv please

she's a tanzanian model and aliuza sura kwenye video ya ngwair "she gotta gwan" thats all i know.
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....

seriously guys hatuwez kumjadili kama hatumfahamu zaid ya kuonekana kwenye shooting. anyway kwenye hiyo shooting ni ya mwaka gani? na alipwa au alifanya bure hiyo shooting.? tunatakiwa kujua income yake and its source. ndo tuseme ni mjinga au anatumia pesa zishamzoea.
Ulimbukeni tu unamsumbua,si ajabu vitu vyote hivyo ni vya kichina ambavyo bei yake haizidi hata laki 2