Mrembo Jack Patrick atoka na viwalo vya 8m

kwani kazi ya bf ni ku-replace budget ya mdada? men can be very strange!
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
attachment.php
 
yani kiatu tuu zaidi ya laki 6! kina ac ndani yake au?? hata kama ni ufisadi huu kiboko!!!
 
....Huyu dada ni bogus kweli.............kuna vitu hapo kavitaja bei yake lakini si kweli................na hata kama ni kweli havitusaidiii sana....

Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
attachment.php
 
sizaniiii hakuna cha m8 wala nini
wa milion 8 wanajulika anafanya matangazo ili
apate wa kumkandamiza ili amuwezeshe
kusongesha life hawa ni makahaba tuuu
sorry hasira zimenikaba
vidole vikaandika pleas munisamehe
 
Kama alizidisha sana basi alitumia Elfu Themanini kwa viwalo vyote hivyo..
Milioni Nane my foot.....
 
hiyo milioni nane unalipia ada kwa mwaka shule nzima ya kata yenye watoto 400, wastani wa watoto mia kila darasa halafu wewe unatoka nazo kwenye mwili halafu mara moja tena pengine mtoko ambao ni masaa yake hayafiki hata manane.
 
Ulimbukeni tu unamsumbua,si ajabu vitu vyote hivyo ni vya kichina ambavyo bei yake haizidi hata laki 2
 
hana lolote, kati ya watu ninaowadharau, huyu naye ni mmojawapo. piece of crap..
 
Huyo kinuka mkojo hana mtu wa kumhonga hata hiyo 80,000 itakuwa milioni! Au alishindwa kutamka badala ya elfu anasema milioni
 
umeona eeh .vitu vya kichina tena kawaazima
wanaoishi nae geto ili auze nyago kweye
magazeti ya udaku pambav

Huyo kinuka mkojo hana mtu wa kumhonga hata hiyo 80,000 itakuwa milioni! Au alishindwa kutamka badala ya elfu anasema milioni
 
Huyu demu ni biashara hakuna kutongoza kuna maPIMP wanawauza hawa warembo kiasi awe na vitu vya thamani namna hiyo maana dau ni $100 ST
 
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
attachment.php
vunja mifupa kingali meno yapo.
 
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
attachment.php
Kama hizo simu alizoshika ni Tsh. 2,550,000 biashara ya kuimport handsets itakuwa inalipa vizuri!
 
Back
Top Bottom